Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Desperate?serious
Am living my life
Hata huyu kanitongoza kwa kuhangaika sana sikuwa na time naye
Story ni fupi alikuja kupata nafuu ya maisha anakuta the opposite
Hata kudo tumedo only twice
Kwayeye kufoc
Alitaka tumia ngono ili nifall aanze kunichuna nikamstukia mdangaji,nikasepa
Coz silei marioo
Walomleta mjini ndo wamleee
Sina dhiki ya wanaume
Wako wengi nawapanga navyotaka
Alichotegemea hajapata
Mie pamoja na kuwa na kazi natuzwa situnzi mtu mwenye mbupu zake
Ama mnataka nirushe hadi chat zake za kulia njaa na kufake mapenz ndo muamini
Am done and he is gone

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kurusha ebu... Binafsi sijawahi kuona mwanamke anayehonga toka nizaliwe.

hata kumskia pembeni... nawaona-ga kwenye mitandao kama hivi na kwenye story bubu.
 
Miaka mitatu iliyopita nilipogundua Demu Fulani wakishua,nilifanya vituko vyote mbele yake.Mtoto alinielewa kiasi kwamba vituko vilimzidia hadi akanitongoza mwenyewe.Hapo Ikawa Kama mbuzi Kufia kwa muuza supu.Alikufa akaoza,na mm niliendelea na maigizo yangu kwa Ufundi wa Hali ya juu,game Kali,uaminifu wa Hali ya juu kuhakikisha nazitumia hela ipasavyo.Japo yeye sio sugar Mamy and whatever,she is even under 20.So ndo advantage Kwangu hyo.Simu htc nikaona mbaya Huyo iPhone.kweli lodge yy ndo analipaga.nikihitaji 20K chap tu anytime.Sema On top of that I'm tall and handsome.watoto wa kishua tena!
Aseeh..... kwa hiyo huwa unaomba pesa na kuomba kununuliwa simu au yeye ndiye anakwambia baby chukua!

Na wewe huwa unaona kawaida tu!
 
Miaka mitatu iliyopita nilipogundua Demu Fulani wakishua,nilifanya vituko vyote mbele yake.Mtoto alinielewa kiasi kwamba vituko vilimzidia hadi akanitongoza mwenyewe.Hapo Ikawa Kama mbuzi Kufia kwa muuza supu.Alikufa akaoza,na mm niliendelea na maigizo yangu kwa Ufundi wa Hali ya juu,game Kali,uaminifu wa Hali ya juu kuhakikisha nazitumia hela ipasavyo.Japo yeye sio sugar Mamy and whatever,she is even under 20.So ndo advantage Kwangu hyo.Simu htc nikaona mbaya Huyo iPhone.kweli lodge yy ndo analipaga.nikihitaji 20K chap tu anytime.Sema On top of that I'm tall and handsome.watoto wa kishua tena!
Vijana kwa tambo utzani tamthilia za kiswazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom