Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Miaka mitatu iliyopita nilipogundua Demu Fulani wakishua,nilifanya vituko vyote mbele yake.Mtoto alinielewa kiasi kwamba vituko vilimzidia hadi akanitongoza mwenyewe.Hapo Ikawa Kama mbuzi Kufia kwa muuza supu.Alikufa akaoza,na mm niliendelea na maigizo yangu kwa Ufundi wa Hali ya juu,game Kali,uaminifu wa Hali ya juu kuhakikisha nazitumia hela ipasavyo.Japo yeye sio sugar Mamy and whatever,she is even under 20.So ndo advantage Kwangu hyo.Simu htc nikaona mbaya Huyo iPhone.kweli lodge yy ndo analipaga.nikihitaji 20K chap tu anytime.Sema On top of that I'm tall and handsome.watoto wa kishua tena!
Handsome, tall? Hebu tuma picha nipate uhalisia isije kuwa ni mbwembwe nyuma ya keyboard

Key point, mi ni mtoto wa kishua na nahonga kama yotee na niko under 20..changamkia fursa HB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnazo tena nyingi. Sijui huwa mnafundishwa somo gani tusilolijua angali mu wadogo
Sasa we mwanaume na akili zako utakulaje hela ya mwanamke? Haahaa wanaume hii siri hawaijui na ngoja niwamegee, iko hivi ( siku ukila hela ya mwanamke ni utatangazwa kwa mashost/ majirani/ wapita njia/ Dada hivyo yaan hata kama hawakujui japo hutaambiwa! Mmojawapo si huyu bidada anabwatuka na uzi kafungua![emoji15] [emoji15] ...jiulize kama kafungua Uzi je huko kitaa mashost kawahadithia nini so ni full mchoro kama wotee hivi!)

Halafu dharau yake sasa achaa...anakuona zaidi ya jinsia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we mtu una akili utakulaje hela ya mwanamke? Haahaa wanaume hii siri hawaijui ( siku ukila ya mwanamke ni utatangazwa kwa mashost/ majirani/ wapita njia/ Dada hivyo yaan hata kama hawakujui japo hutaambiwa! Mmojawapo si huyu bidada anabwatuka na uzi kafungua![emoji15] [emoji15] ...jiulize kama kafungua Uzi je huko kitaa mashost kawahadithia nini so ni full mchoro kama wotee hivi!)

Halafu dharau yake sasa achaa...anakuona zaidi ya jinsia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya mwanamke lazima uilipe aidha kwa kuaibika au kumpa zaidi ya aliyokupa.

Bi shost labda anaandaa meseji endelea kusubiri.
 
Mimi ndicho nachoshangaa... hivi wanawake hawa hawa!

Nadhani labda mwanamke anamwahi honey chukua hii laki 2 katumietumie. Hela ya mwanamke ni inamuuma.
Hahaaa!yaani Mimi kwa kweli hapana !!huwaga sipatagi jibu kwa kweli!!!!

Wanakuja na gia dear nna dharura niazime kama laki mbili hivi ntarudisha ukimpaa kimojaa!ila Mimi nasema sina tu!kwa kweli hata kama umeniona nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we mtu una akili utakulaje hela ya mwanamke? Haahaa wanaume hii siri hawaijui ( siku ukila ya mwanamke ni utatangazwa kwa mashost/ majirani/ wapita njia/ Dada hivyo yaan hata kama hawakujui japo hutaambiwa! Mmojawapo si huyu bidada anabwatuka na uzi kafungua![emoji15] [emoji15] ...jiulize kama kafungua Uzi je huko kitaa mashost kawahadithia nini so ni full mchoro kama wotee hivi!)

Halafu dharau yake sasa achaa...anakuona zaidi ya jinsia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaziaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom