Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
katika dunia hii huwezi kunyimwa vyote, kama sura haieleweki utapewa kalio lkn akili utanyimwa, ukipewa sura, utanyimwa kalio na waweza kuwa mvivu kitandani.
kila mtu kapewa udhaifu na kapewa uzuri.
Mungu ni mkamilifu...anavyote, vizuri, vibaya, dhaifu na vyenye nguvu.
ni fuull pakeji
Sent using Jamii Forums mobile app