Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Cha jioni??, ni kitu gani hicho??.Mimi siwezi kumpiga mwanamke,namrudisha had kwao tena na cha jioni nakula kwao then naondoka zangu
Cha jioni??, ni kitu gani hicho??.Mimi siwezi kumpiga mwanamke,namrudisha had kwao tena na cha jioni nakula kwao then naondoka zangu
Mi nitaoa naamini nguvu nnao na uthubutu upo!Naomba utukome kwa nguvu gani mlizonazo wanaume wenye nguvu hii dunia wachache wanaoweza miliki wake watatu
Point takenYaan kuna dada alikuwa na kibenten si kimemuua kisa kilimuona na danga ,basi mwanamke hajataka kutulia mwache tu sio riziki yako
Lipo,hujajua tuHakuna limbwata ni uongo mtupu
Nadhani tujifunze kupenda kwa asilimia zisizozidi 100%, ili zinaObaki ziwe provision in cases of wind of love businessJamani jamani kwani ukiona mmeshindwana na mme /mke/mpenzi /mchumba si unamuacha tu mpaka umtoe roho yake,visa vya wanaume kuwauwa wanawake vimezidi,kwani nyie wanaume hamuwezi kuachana na mwanMke mpaka umuue mbona ni ubinafsi wa hali ya juu na roho mbaya kuzidi,umemuona mwanamke ana danga lake muache chukua kifaa kuzidi yeye huwezi fanya mambo mengine huwezi kosa wanawake wengi mno mbona,unamuua mtoto wa mtu unaishia nawe Gerezani faida nini ?
Wanawake ukiona unaishi na mwanaume ana wivu sana ana mkono wa kukupiga jua kuna siku atakunyonga ukifatilia sana wanaoua wengi ni wanapenda kupiga wanawake yaan yeye hawezi hata kupigana na wanauke wenzie ni kupiga mwanamke
Kimbieni wanaume wanaowapiga mwanaume anajifanya kukuonea wivu utafikiri kakupa airpot ya dar uimiliki,wivu uwepo lakin usizidi kiasi,na nyie wanaume mnaowapiga wapenzi au wake zenu hamuogopi kula chakula cha mwanamke unaempiga akikuwekea sumu jueni na sie tuna hasira sema kuwapiga hatuwezi
Mwanamke unapigwa upo tu unatolewa upo tu siku akikunyonga akili itakukaa vyema kaburini
Mrs G
Bado wewe na nyie muachane na waleti zetu...! Ikila ujue kuna kulipa..
Eti nguvu kwani ugomvi..! Nikitaka papuchi ata kama napiga ½bao nakuwa na many choices mambo ya kuridhishana kwani unanilipa utajijua mwenyewe huko.
Mpaka anauliwa na kibenten jamani?
Nadhani tujifunze kupenda kwa asilimia zisizozidi 100%, ili zinaObaki ziwe provision in cases of wind of love business
hili limekaa kipovu povuTumekutana watu wazima tuliokulia malezi,mtazamo,elimu,itikadi,uchumi,imani tofauti kabisa hivyo ni lazima wote wawili tujifunze kuishi kutokana na utofauti wetu,tukitofautiana unapaswa ukae na mimi au ukae nami unieleze,tumeshindwana tuachane kwa amani jamani,ila ukinyanyua mkono au ngumi kunipiga sababu tumetofautiana au nikuogope nikubali kuendelea na wewe ni UDHAIFU WAKO WA KUTOKUJUA KUJENGA HOJA KUNISHAWISHI,NA UJINGA UMEKUJAA TU
Baraka Labda Ungeniambia Povu Kiaje Ila Leo Weekend Ruksa Kufua Nguohili limekaa kipovu povu
Kupigwa suna bibiee
Kwani kafa?Ndio mnapitiliza kutuua