OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 602
- 1,464
Mkuu ukijibiwa na mimi nitaarifuvipi na wanaume waopokea vichapo toka kwa wapenzi ama wake zao? au wao hawausiki
Mkuu ukijibiwa na mimi nitaarifuvipi na wanaume waopokea vichapo toka kwa wapenzi ama wake zao? au wao hawausiki
poa poaMkuu ukijibiwa na mimi nitaarifu
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado nafikiria.
Mpaka siku akikunyonga akili ikukae sawa.
Hapa kilimaanishwa nini? Itakua njaa imenizidi.
vipi na wanaume waopokea vichapo toka kwa wapenzi ama wake zao? au wao hawausiki
Lazima mpigwe tu maana hamana sasa kama mtu unaambiwa acha umalaya wewe husikii .lazima upigwe tu.na nasema wanaume wapigeni hoa wanaowasumbua
Bado nafikiria.
Mpaka siku akikunyonga akili ikukae sawa.
Hapa kilimaanishwa nini? Itakua njaa imenizidi.
Kupigana ndio destur zetu
Bado wewe na nyie muachane na waleti zetu...! Ikila ujue kuna kulipa..Jamani jamani kwani ukiona mmeshindwana na mme /mke/mpenzi /mchumba si unamuacha tu mpaka umtoe roho yake,visa vya wanaume kuwauwa wanawake vimezidi,kwani nyie wanaume hamuwezi kuachana na mwanMke mpaka umuue mbona ni ubinafsi wa hali ya juu na roho mbaya kuzidi,umemuona mwanamke ana danga lake muache chukua kifaa kuzidi yeye huwezi fanya mambo mengine huwezi kosa wanawake wengi mno mbona,unamuua mtoto wa mtu unaishia nawe Gerezani faida nini ?
Wanawake ukiona unaishi na mwanaume ana wivu sana ana mkono wa kukupiga jua kuna siku atakunyonga ukifatilia sana wanaoua wengi ni wanapenda kupiga wanawake yaan yeye hawezi hata kupigana na wanauke wenzie ni kupiga mwanamke
Kimbieni wanaume wanaowapiga mwanaume anajifanya kukuonea wivu utafikiri kakupa airpot ya dar uimiliki,wivu uwepo lakin usizidi kiasi,na nyie wanaume mnaowapiga wapenzi au wake zenu hamuogopi kula chakula cha mwanamke unaempiga akikuwekea sumu jueni na sie tuna hasira sema kuwapiga hatuwezi
Mwanamke unapigwa upo tu unatolewa upo tu siku akikunyonga akili itakukaa vyema kaburini
Mrs G
Kunipiga ni udhaifu wako na ujinga wako wa kutokujua kunishawishi.
Yaani niendeleze mahusiano au ndoa na wewe sababu ya kuwa naogopa utanpiga?unakubali uwe na mimi na unajua kuwa sina hisia nawe,sikuheshimu tena ila nakuogopa?huo ni upumbavu
NARUDI
Ndio maana wanaume wanalazmishwa kuoa mke zaidi ya mmoja.ukishakuwa na wake wawili au watatu au wanne huwezi kufkiria kuua mwanamke!hivyo nyie wanawake ili msidhuriwe acheni waume zenu wawe na wake wengi ili siku ukitaka muachane mtaachana kwa amani na upendo kabisa
Ndio maana wanaume wanalazmishwa kuoa mke zaidi ya mmoja.ukishakuwa na wake wawili au watatu au wanne huwezi kufkiria kuua mwanamke!hivyo nyie wanawake ili msidhuriwe acheni waume zenu wawe na wake wengi ili siku ukitaka muachane mtaachana kwa amani na upendo kabisa
Eti nguvu kwani ugomvi..! Nikitaka papuchi ata kama napiga ½bao nakuwa na many choices mambo ya kuridhishana kwani unanilipa utajijua mwenyewe huko.Naomba utukome kwa nguvu gani mlizonazo wanaume wenye nguvu hii dunia wachache wanaoweza miliki wake watatu
Mpaka anauliwa na kibenten jamani?Yaan kuna dada alikuwa na kibenten si kimemuua kisa kilimuona na danga ,basi mwanamke hajataka kutulia mwache tu sio riziki yako
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hahaaa haaaaUsikie na wewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aise unapasha kabisaMimi siwezi kumpiga mwanamke,namrudisha had kwao tena na cha jioni nakula kwao then naondoka zangu