Wakati wanawake wakifikisha umri wa miaka 30+ wanaume wanawapatia majina tofauti tofauti kama vile makinikia, nungayembe, wazee, n.k, hali ni tofauti kabisa kwa wanaume wenye umri wa 40+.
Wanaume wa umri huu kila mwanamke anawahitaji. Kwasababu wanawake wengi wana dhana zifuatazo juu yao:-
-Wamekomaa kiakili na wana maamuzi sahihi.
-Wanajua ku-care.
-Wamepunguza tamaa za kuchepuka.
-Wengi wao wanajitambua.
-Wengi wamefanikiwa kimaisha.
Kwani uongo? Kweli