Wanauchumi wote piteni hapa

Wanauchumi wote piteni hapa

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,656
Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?
 
mkuu pesa zote huwa zinakuwa printed na makampuni makubwa ya kuchapa pesa. Mfn wa makampuni haya ni Canadian bank note Co, De La rue, japan mint n.k . lakini de ra lue ndio kampuni kubwa zaidi kwa sekta hii. Na ni kampuni ya kiingrrrza.

Ni vipi makampuni yanapatikana.

Ni kupitia sheria zile zile za manunuzi ya serikali,
B.O.T kama msimamizi wa fedha anatangaza tender then makampuni yanaomba. Kisha wao B.O.T wanachagua kampuni ifaayo na kuipa kandarasi hiyo.

Vigezo.
Vipo vigezo wanavyovitumia B.OT kuchagua kampuni. Moja ni gharama ya kuichapa noti moja. Pili ni mahusiano ya serikali ya Tanzania na nchi hiyo kampuni inakotoka yakoje. Tatu ni ubora wa note zenyewe. Nne ni historia ya kibiashara ya kampuni hiyo na nchi nyingine na Tanzania kwa ujumla.

Kwanini kuchap note nyingi si busara.
Jibu ni kuwa unapochapa pesa kuna cost per each note. Mathalani, notr ya sh ef 500 unailipia sh 150. Hivyo kadri unapochap note nyingi, cost inakua kubwa zaidi. Kiuchumi ni mbaya.

Kampuni ipi inatumika zaidi.
Tanzania inaitumia hasa kampuni ya De la rue. Kampuni hii ni kongwe kwani imekuwepo tangu enzi za 1830s. muuasis wake ni bwana Thomas De la rue. Kampuni hii inatoa fedha za nchi zaidi ya 140 duniani.

Kwa ufupi ni hivyo
 
Mwacheni amwage minoti mpaka tuwe tunabeba kwenye mafurushi kwenda kununua Bubble gum.Nakwenda Zimbabwe [emoji1269][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
mkuu pesa zote huwa zinakuwa printed na makampuni makubwa ya kuchapa pesa. Mfn wa makampuni haya ni Canadian bank note Co, De La rue, japan mint n.k . lakini de ra lue ndio kampuni kubwa zaidi kwa sekta hii. Na ni kampuni ya kiingrrrza.

Ni vipi makampuni yanapatikana.

Ni kupitia sheria zile zile za manunuzi ya serikali,
B.O.T kama msimamizi wa fedha anatangaza tender then makampuni yanaomba. Kisha wao B.O.T wanachagua kampuni ifaayo na kuipa kandarasi hiyo.

Vigezo.
Vipo vigezo wanavyovitumia B.OT kuchagua kampuni. Moja ni gharama ya kuichapa noti moja. Pili ni mahusiano ya serikali ya Tanzania na nchi hiyo kampuni inakotoka yakoje. Tatu ni ubora wa note zenyewe. Nne ni historia ya kibiashara ya kampuni hiyo na nchi nyingine na Tanzania kwa ujumla.

Kwanini kuchap note nyingi si busara.
Jibu ni kuwa unapochapa pesa kuna cost per each note. Mathalani, notr ya sh ef 500 unailipia sh 150. Hivyo kadri unapochap note nyingi, cost inakua kubwa zaidi. Kiuchumi ni mbaya.

Kampuni ipi inatumika zaidi.
Tanzania inaitumia hasa kampuni ya De la rue. Kampuni hii ni kongwe kwani imekuwepo tangu enzi za 1830s. muuasis wake ni bwana Thomas De la rue. Kampuni hii inatoa fedha za nchi zaidi ya 140 duniani.

Kwa ufupi ni hivyo
Nimekuelewa mchumi
 
Kwahiyo kwamfano nikaiba printer moja, halafu nikaanza kuprint kwa sh. 50 per note, itakuwa sahihi kuprint mahela mengi kutokana na cost kuwa ndogo? Au kuna effect nyingine ya kuprint hela nyingi?
 
ukamuibia nani hyo printer? Na ukaiprint kwa utaratibu gani?
 
Msukuma hana akili hiyo.. Ndio maana theory zote za uchumi kaziweka kando anatumia chatonism theories
Mjinga amefeli yule! Kila kona hali ni mbaya kuliko Jana, Kale kazee kanachekelea tu kwa vile ameshindwa kukafunika!
 
Kwahiyo kwamfano nikaiba printer moja, halafu nikaanza kuprint kwa sh. 50 per note, itakuwa sahihi kuprint mahela mengi kutokana na cost kuwa ndogo? Au kuna effect nyingine ya kuprint hela nyingi?
Huwezi kuprint print tu ela utasababiha zishuke thamani, ingekuwa hivyo tusingekuwa tunakopa tungekuwa tuna jiprintia tu.
Lakini effect ya kuprint ela ovyo unaweza kukuta unanunua mkate ambao leo ni 1000 unakuja ununua 50000.
 
Hili ndilo jibu ambao Septem alitakiwa kutoa lakini akajikita kwenye printers za wizi alizotaja WirelessBrain kumbe hoja pale haikuwa suala la printers!

Hata hivyo, Septem mwenyewe ameshasema yeye co mchumi and possibly maelezo yake yanatokana na uzoefu tu wa kikazi wa eneo husika!
 
WirelessBrain swali lako ni zuri japo mie sio mwana uchumi ila ntajaribu kuongezea kama wachangiaji waliotangulia walivyoanza kujibu.
Kwanza kabisa, Benk Kuu ya Tanzania ndio msimamizi mkuu wa mwenendo wa kiuchumi na shughuli zote zinazohusu pesa.

Wao ndio hutangaza tenda na kusimamia mchakato mzima kutokana na vigezo walivyojiwekea. Makampuni mengi ni ya nje.
Tukirudi kwenye wazo la kuzitengeneza nyingi, kwa ufupi kiwango cha noti wanazoprint kina mahesabu yanayoendana na hali halisi ya uchumi wa nchi. Ina maana thamani ya tshs 10,000/= iendane na huduma au kazi ya kiwango hicho. Sasa ukizitengeneza nyingi inamaana zinapatikana kirahisi bila kuzifanyia kazi stahiki, watu wengi watakua na hizo noti bila kuzalisha au kujituma. Mwisho wa siku thamani yake itashuka. Kwakuwa zipo nyingi na wengi wanazo, huduma ambayo ungeipata kwa 3,000/= unaweza kuipata kwa 10,000/= au zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom