Wanauchumi wote piteni hapa

Wanauchumi wote piteni hapa

Kwanza lazima mjue kazi ya fedha ni kufinance projects mbalimbali mbali. Under the acceptable inflation that we have i.e around 4.5 percent kuprint pesa unastimulate uchumi na unaongeza effective demand i.e AD whic is ivestment plus savings. Under the aradox theories jpm yukosahihi kabisa.

Kosa lililofanywa zimbabwe ni kuprint pesa bila ongezeko lolote la sectors za uchumi na walikuwa wameshafika kwenye hyper inflation i.e double digit.

Kumbuka kwamba ili uprint pesa lazima uangalie velocity of money and level of transaction yaani ziongozeke ambapo tanzania kuna stiglers gorge na miradi kibao ambapo kasi au v inaongezeka.

Ukiprint pesa bila kuangalia v and T unasababisha value ya pesa kushuka in the same proportion ya printing i.e 20% ms increase will also decrease th value by 20%.
This is explained by quantity theory of money by prof Ilving Fisher.

Jpm is on the right track machadema hamjui kitu chochote zaidi ya siasa za maji taka. Ndani ya lichama lema mnsmtegemea lisu tu wengine ni form four failures.
 
Huwezi kuprint print tu ela utasababiha zishuke thamani, ingekuwa hivyo tusingekuwa tunakopa tungekuwa tuna jiprintia tu.
Lakini effect ya kuprint ela ovyo unaweza kukuta unanunua mkate ambao leo ni 1000 unakuja ununua 50000.

Hili ndilo jibu ambao Septem alitakiwa kutoa lakini akajikita kwenye printers za wizi alizotaja WirelessBrain kumbe hoja pale haikuwa suala la printers!

Hata hivyo, Septem mwenyewe ameshasema yeye co mchumi and possibly maelezo yake yanatokana na uzoefu tu wa kikazi wa eneo husika!

WirelessBrain swali lako ni zuri japo mie sio mwana uchumi ila ntajaribu kuongezea kama wachangiaji waliotangulia walivyoanza kujibu.
Kwanza kabisa, Benk Kuu ya Tanzania ndio msimamizi mkuu wa mwenendo wa kiuchumi na shughuli zote zinazohusu pesa.

Wao ndio hutangaza tenda na kusimamia mchakato mzima kutokana na vigezo walivyojiwekea. Makampuni mengi ni ya nje.
Tukirudi kwenye wazo la kuzitengeneza nyingi, kwa ufupi kiwango cha noti wanazoprint kiba mahesabu yanayoendana na hali halisi ya uchumi wa nchi. Ina maana thamani ya tshs 10,000/= iendane na huduma au kazi ya kiwango hicho. Sasa ukizitengeneza nyingi inamaana zinapatikana kirahisi bila kuzifanyia kazi stahiki, watu wengi watakua na hizo noti bila kuzalisha au kujituma. Mwisho wa siku thamani yake itashuka. Kwakuwa zipo nyingi na wengi wanazo, huduma amvayo ungeipata kwa 3,000/= unaweza kuipata kwa 10,000/= au zaidi.

Asanteni kwa kuelewa swali great thinkers, sasa nimeelewa.
 
Hili ndilo jibu ambao Septem alitakiwa kutoa lakini akajikita kwenye printers za wizi alizotaja WirelessBrain kumbe hoja pale haikuwa suala la printers!

Hata hivyo, Septem mwenyewe ameshasema yeye co mchumi and possibly maelezo yake yanatokana na uzoefu tu wa kikazi wa eneo husika!
ndio mkuu. Sina ufahamu sana na hzo effects kiuchumi pamoja na kua mimi ni mfanyabiashara. Na nilijaribu kuelezea zaidi kutokana na printers tu
 
Kwanza lazima mjue kazi ya fedha ni kufinance projects mbalimbali mbali. Under the acceptable inflation that we have i.e around 4.5 percent kuprint pesa unastimulate uchumi na unaongeza effective demand i.e AD whic is ivestment plus savings. Under the aradox theories jpm yukosahihi kabisa.

Kosa lililofanywa zimbabwe ni kuprint pesa bila ongezeko lolote la sectors za uchumi na walikuwa wameshafika kwenye hyper inflation i.e double digit.

Kumbuka kwamba ili uprint pesa lazima uangalie velocity of money and level of transaction yaani ziongozeke ambapo tanzania kuna stiglers gorge na miradi kibao ambapo kasi au v inaongezeka.

Ukiprint pesa bila kuangalia v and T unasababisha value ya pesa kushuka in the same proportion ya printing i.e 20% ms increase will also decrease th value by 20%.
This is explained by quantity theory of money by prof Ilving Fisher.

Jpm is on the right track machadema hamjui kitu chochote zaidi ya siasa za maji taka. Ndani ya lichama lema mnsmtegemea lisu tu wengine ni form four failures.
KWANI KUNA MPANGO WA KU PRINT NOTI MPYA?
 
huwezi eleza bila kuweka siasa uchwara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom