Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

mimi je nini kitaitwa kwa jina langu? maana vyoote mnajirundikia nyie wenyewe!! mweee!!!
 
Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote. Kama Vipi Nchi ibadilishwe Jina iitwe Magufuli tujue moja. Sababu ishakua nchi ya kusifu na matatizo ya wananchi yamesahaulika na hayasemwi na ukijaribu kusema unaitwa beberu.
hata wakitaka aitwe YESU sawa tu
 
Praise team hawana tofauti na wauzaji wa kimboka au corner bar
 
Umeandika ukiwa na hasira kweli
Kunywa maji upooze koo kwanza
 
Namimi nashauri,Hospital ya Muhimbili na za mikoa yote zibadilishwe majina ziitwe Magufuli Hospital pamoja na mbuga za wanyama zote,na Magholofa yote marefu na mimi nyumba yangu nitaiita kwa jina hilo,hamuoni uchumi umepanda?na leo tunazindua kampeni kubwa za uchaguzi Tamisemi,tunaweza kuchagua kitaifa ukazindua kampeni kwenye kiwanja cha ndege Chattel mkoani Rubondo.
Wivu wa kiswahili huo
 
Back
Top Bottom