Main partners waliendelea kuweka pesa na sasa project imekwisha. Sasa main partners wamekaa wenyewe na kuamua kwamba mimi nitolewe na nilipwe pesa kama compesation ya introduction niliyofanya. Wakafikia uamuzi kwamba mimi si shareholder tena na nikatumiwa tu e-mail kwamba I am no longer the share holder.
1. Wamesha andika barua kwa suppliers kwamba mimi s share holder
2. Wamebadilisha funguo za ofisi
3. Wame ni disable kwenye e-mail
4. Sihusishwi kwenye share holders meeting
Naombeni wanasheria mlioko JF mnieleweshe cha kufanya, je nina uwezo wa kupinga maamuzi ya main partners?