msalitiyuda
Member
- Aug 1, 2025
- 5
- 8
Ule msafara wa rais wa kwenda kuchukua form ya urais kwanza alitembea na watu wake sijui aliwatoa wapi 7bu wanadodoma tulikuwa tunashangaa Hawa wageni wametoka wapi kwenye msafara wake alikuwa na mabasi 13 hayo yalikuwa yamejaza watu na alikuwa na v8 land kuruza 130 na pikipiki za usalama 100 bodaboda 300 kwahiyo ukipiga hesabu hapo alikuja na watu wake kama 1500 na maana watu wa Dodoma tulionekana sisi ndo wageni