Wanasiasa nguli na vinara wa kubeti nchini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,184
11,607
Miongoni mwa shughuli zinazofanywa na kutegemewa na vijana kupoteza na kujipatia kipato ni pamoja na kubeti.

Kazi hii imevamiwa pia na wanasiasa wengi kwa sasa, wapo wanaofahamika na wasiofahamika pia.

Bila kujali vyama vyao unadhani ni wanasiasa gani wanaongoza kwa kubeti nchini kwa sasa?
 
Miongoni mwa shughuli zinazofanywa na kutegemewa na vijana kupoteza na kujipatia kipato ni pamoja na kubeti.

kazi hii imevamiwa pia na wanasiasa wengi kwa sasa, wapo wanaofahamika na wasiofahamika pia.

Bila kujali vyama vyao unadhani ni wanasiasa gani wanaongoza kwa kubeti nchini kwa sasa ?
Freeman mbowe na Zitto Kabwe

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
AFAIK, wao huwa wanabet kama sehemu burudani sio kama wewe unabet ili upate pesa ya kula, kodi, nauli, bills, pombena kuhonga utadhani muhindi ni babaako
 
Betting is Prohibited to persons under the age of 18.

Bet Responsibly, and Most importantly bet what you can afford to lose.
 
Tafuteni fedhaa hata kwa kubashiri nawe hutakuwa na njaa maskani kwako wewe na jamaa zako, nao watafurika kula mema yako kwa kazi za mikono yako.
 
Tafuteni fedhaa hata kwa kubashiri nawe hutakuwa na njaa maskani kwako wewe na jamaa zako, nao watafurika kula mema yako kwa kazi za mikono yako.
kwenye kilimo vp sure beti ni mbaazi, mahindi au maharage mwaka huu?
 
Back
Top Bottom