Mijadala mingine ni kupoteza muda...
Hio sheria haitapita bungeni...simply
Kwa sababu waheshimiwa mnaowalenga ndio wako bungeni hawatoipitisha abadani
hizi picha nikizionaga insta nazanigi ni editing kumbe kweli na waziri kapiga nao picha hivyo hivyo hahahaaa duh kweli hatareee
Kwa sababu waheshimiwa mnaowalenga ndio wako bungeni hawatoipitisha abadani
Hata km ningekuwa mbunge ningepingaLakini hii haimaanishi watu binafsi wasipeleke watoto wao binafsi hapa iwe hasa kwa Viongozi wakubwa na lengo ni kuziboresha shule za umma mbona watoto wa wakubwa wanasoma vyuo vikuu vya umma kwa sababu vyuo vimeboreshwa sana kuzidi hata vya private huwezi kuta mtoto wa mkubwa anasoma Sauti ya Songea au St John tawi la Tabora wote wanaenda SUA, UDOM, UDSM, MZUMBE
Sent using Jamii Forums mobile app