Mashiko yapo na hoja zake wakili Karume ni za msingi, iweje askari wa kiume akamshike mwanamke?Mtani...hivi kweli unaona/unadhani hiyo kesi aliyoifungua bi Karume ina mashiko?
Na kweli ni kesi ya kuwakilishwa na mawakili 29?
Hata kesi ya karne [O.J. Simpson murder trial] O.J. hakuwakilishwa na mawakili 10....
Au ni kiki tu hizo?
Mtani...hivi kweli unaona/unadhani hiyo kesi aliyoifungua bi Karume ina mashiko?
Na kweli ni kesi ya kuwakilishwa na mawakili 29?
Hata kesi ya karne [O.J. Simpson murder trial] O.J. hakuwakilishwa na mawakili 10....
Au ni kiki tu hizo?
Haina mashiko kwa mtizamo wako lakini ni kesi inayoenda kutuma ujumbe mzito kwa jeshi la polisi kuhusu weledi wa kazi na kuwa hata wao sheria zinawahusu,upande wa pili mshikamano wa wapenda haki mwisho wanainchi kutokubali kukaa kimya haki zinapovunjwa na mtu yeyote yule hata kama ana cheoMtani...hivi kweli unaona/unadhani hiyo kesi aliyoifungua bi Karume ina mashiko?
Na kweli ni kesi ya kuwakilishwa na mawakili 29?
Hata kesi ya karne [O.J. Simpson murder trial] O.J. hakuwakilishwa na mawakili 10....
Au ni kiki tu hizo?
Mashiko yapo na hoja zake wakili Karume ni za msingi, iweje askari wa kiume akamshike mwanamke?
Huu ndo unaitwa udhalilishaji, yule mama ata akisema alishikwa nyeti zake nani atabisha?
Kuna haja ya askari polisi angalau kujifunza kufuata sheria na taratibu na wasifanye kazi kwa mazoea.
Haina mashiko kwa mtizamo wako lakini ni kesi inayoenda kutuma ujumbe mzito kwa jeshi la polisi kuhusu weledi wa kazi na kuwa hata wao sheria zinawahusu,upande wa pili mshikamano wa wapenda haki mwisho wanainchi kutokubali kukaa kimya haki zinapovunjwa na mtu yeyote yule hata kama ana cheo
hata wakoloni hawakufukuzwa na watanzania wote ila kakikundi kakina nyerere na wenzake.Sio wakaze kinachotakiwa na ww pia uhusike sio upikiwe ugari ule bila kupambana,inuka twende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kupunguza mahaba, nimesema kuna haja ya askari polisi kufuata sheria na taratibu.Amevunja sheria gani huyo askari?
Hahaa...na polisi akisema hakumshika nyeti zake nani atabisha?
After all, si kuna video footage? Video inaonyesha akizishika nyeti zake mbele ya watu wote wale?
Mnaota nyie.
Hapo hakuna kesi yoyote ile.
Huyo askari polisi na wale wenzake hawakufuata sheria gani, kwa mfano?
Soma habari na harakati za kutokutakiwa mkoloni tanzania walichukiwa na idadi kubwa ya watanzania ila waliokuwa mbele ni hao uliowataja,unatakiwa kuwa muelewa mkuu.hata wakoloni hawakufukuzwa na watanzania wote ila kakikundi kakina nyerere na wenzake.
Ninyi ndilo tumaini pekee lilobakiAsante kwa kutukubali. Fahamu kuwa tasnia yetu hairandani na porojo,utapeli na propaganda. Ni mambo ya kifungu kwa kifungu;hoja kwa hoja. Mambo yako mahakamani mkuu!
mkuuu nimekuelewa. mimi kuwapongenza wasikaze tamaaa naamanisha nipo nao. sasa wakaze wakilegeza mimi sapota pia napoteaSoma habari na harakati za kutokutakiwa mkoloni tanzania walichukiwa na idadi kubwa ya watanzania ila waliokuwa mbele ni hao uliowataja,unatakiwa kuwa muelewa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kupunguza mahaba, nimesema kuna haja ya askari polisi kufuata sheria na taratibu.
Taratibu za kiaskari
haziruhusu askari wa kiume kumkamata na hata kumpekua mwanamke.
Hivyohivyo kwa askari wa kike.
Ww pia unatakiwa upambane upande wako ili kufikia malengomkuuu nimekuelewa. mimi kuwapongenza wasikaze tamaaa naamanisha nipo nao. sasa wakaze wakilegeza mimi sapota pia napotea
poa ninapambana na hali yangu.
Sio hali yako hali ya watanzania wotepoa ninapambana na hali yangu.
haya. poa napambana na hali ya watanzania mkuu
Umenena madini sana, mi nionavyo hapa ndipo inakojipoteza kabisa, haiwi tena tasnia /taaluma huru kwa mustakabali wa jamii na taifa. Chukulia, ni mawakili wangapi walijitolea kwa akina shekhe Ponda, wangapi hujitolea pale kutokeapo mwananchi wa kawaida akidhulumiwa?Tasnia ya sheria tayari imeingiliwa na siasa. Inshu ya Pakistani ni ya kipekee kabisa. Musharaf alifukuza wanasheria (majaji) katika utumishi wa umma na ndio ikawa chanzo cha maandamano, migomo na machafuko. Kwa hapa tz mambo ni tofauti. Siasa zinalazimishwa ziingie katika sheria. TLS nayo inalazimishwa iwe ya kisiasa pasipo kuzingatia kwamba ndani ya TLS kila kitu kinaenda kwa utaratibu wake kikanuni.
Siasa zimefanya baadhi ya wanasheria wawe na kiburi, wanavimba vichwa kwa sababu wana wafuasi wa kisiasa. Wanalazimisha walete siasa hadi kwenye masuala ya sheria.
Ifikie hatua umma ufahamu kuwa hakuna siasa mahakamani. Mpinzani au mfuasi wa chama cha upinzani akishindwa kesi wanasema mahakimu au majaji wamenunuliwa, wakishinda wanatamba kuwa mahakama ni mkombozi wao. Mahakama ikishaingiliwa kisiasa hatutakuwa tena na uhuru wa mahakama. siasa ya namna yeyote ile au ya kutoka kwa yeyote yule, ikiwa ni pamoja na umma, ni hatari sana kwa uhuru wa mahakama.
Tasnia ya sheria ibaki kuwa taaluma. Sheria ikihusishwa ma masuala ya siasa hakika taifa litaangukia pabaya.
Uko sahihi kabisa kiongozi. Sheikh Ponda kapata misukosuko mahakamani, hakuna mwanasheria anaezumgumzia hilo, hofu sasa inakuwaje mzee huyu kama hana uwezo wa kumlipa wakili? Au kwa hawa wanasheria Sheikh Ponda si raia na hastahili huduma? kama ni hivyo ingefaa wangeweka vigezo vyao vya kumtetea mtu.Umenena madini sana, mi nionavyo hapa ndipo inakojipoteza kabisa, haiwi tena tasnia /taaluma huru kwa mustakabali wa jamii na taifa. Chukulia, ni mawakili wangapi walijitolea kwa akina shekhe Ponda, wangapi hujitolea pale kutokeapo mwananchi wa kawaida akidhulumiwa?
Siasa inainyemelea TLS na hii si sifa ya hii taasisi, kesho huko wanakoegemea wakishika dola, hiki chombo hakitakuwa huru tena. Nadhani, wangezingatia weledi wa kitaaluma tu na si kuingiza siasa ktk taaluma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni sanaAsante kwa kutukubali. Fahamu kuwa tasnia yetu hairandani na porojo,utapeli na propaganda. Ni mambo ya kifungu kwa kifungu;hoja kwa hoja. Mambo yako mahakamani mkuu!
Ndio hao hao ambao hawakujali vitisho wakamchagua wanayeona anafaa