nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
ata jpm simuelewi kamwe...
nipe maana ya uzalendo kwanza ndio tuendelee na mjadalaUlimwengu wa WAZALENDO, kwa muda sasa umekuwa unasumbuliwa na KUNDI la Askari wapelelezi wenye MALENGO ya kuharibu na kuhujumu nchi kwa MASILAHI ya Mabwana waliyo watuma.
Nina mashaka makubwa na Muheshimiwa Lissu kama si miongoni mwa SLEEPER AGENT...!!
Najiuliza na kuhoji kila leo UZALENDO wake, nakosa majibu...!!
Tusubiri kidogo, huenda muda ukaongea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini unataka kutupotezea mb zetu. Wanachama wa TLS wamemuonyrsha kuwa ni spent force isiyoweza kuendana Na Tz Mpya. Kitendo cha kufanya mgomo na ameteurs only kimemmaliza kisiasa, professionally etc.Nimejaribu sana kuangalia harakati za Tundu Lissu toka alipoingia Ubunge kila tamko analolitoa lazima lilete mtafaruku na migongano ya kimtazamo ndani ya Serikali na kwa jamii ya watanzania!
Ni kweli kabisa nia yake ni nzima Katika kuhakikisha nchi inakuwa na amani?
Au anajenga vijana na wanainchi kwa ujumla kuwa watu wa visasi na kutotafuta AMANI ya nchi.
Kama ni suala la Haki ni Haki gani hasa ambayo kila siku yeye ndiyo anaitafuta kwa wanainchi?
Hakuna Wanasheria au Mawakili au Wabunge wengine wasio na uchungu na Tanzania isipokuwa Tundu Lissu tu?
Nimejaribu sana kuangalia harakati za Tundu Lissu toka alipoingia Ubunge kila tamko analolitoa lazima lilete mtafaruku na migongano ya kimtazamo ndani ya Serikali na kwa jamii ya watanzania!
Ni kweli kabisa nia yake ni nzima Katika kuhakikisha nchi inakuwa na amani?
Au anajenga vijana na wanainchi kwa ujumla kuwa watu wa visasi na kutotafuta AMANI ya nchi.
Kama ni suala la Haki ni Haki gani hasa ambayo kila siku yeye ndiyo anaitafuta kwa wanainchi?
Hakuna Wanasheria au Mawakili au Wabunge wengine wasio na uchungu na Tanzania isipokuwa Tundu Lissu tu?
Wakifanya hivyo watakufa kwa presha mkuuRuhusuni MIKUSANYIKO YA KIDEMOKRASIA na UHURU WA HABARI..! Acheni mbwembwe na kutupigia ramli hapa.