Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Hamnenepi sababu ya Lissu eti? Ule ni wito uliotolewa na halmashauri ya TLS Lissu alisoma tu wala siyo maagizo yake
 
Kwani monitor hawezi kuhamasisha maandamano??

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Amekamilisha wajibu wake kama Rais ,wakigoma ni juu yao hakuna wa kumlaumu
Lissu kafanya kazi yake, kama Rais wa TLS. Suala la kugoma au la ni binafsi maana kila Wakili huingia mkataba binafsi na wateja wake na I am sure kuna baadhi ambao hawatagoma, based on their agreements/arrangements na wateja wao as well as stage ambazo kesi imefikia.
 
Kwanza lissu anijiona yeye ndo msomi kuliko wanasheria wote watakao muunga mkono huyu TUNDU LA BINADAMU nao ni mafukara wa akili KM huyu jamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnashindwa kuelewa. Kugoma ni agizo la baraza na wala sio agizo la lissu. Hebu muwe munajitahidi kusoma kidogo muelewe
 
Aiseee mbona maagizo yakitolewa na mahakama mnasema sio ya mahakama bali ya magufuli,kweli nyani haoni .....
Tatizo mnashindwa kuelewa. Kugoma ni agizo la baraza na wala sio agizo la lissu. Hebu muwe munajitahidi kusoma kidogo muelewe
 
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha lakini yeye siku ya kesi yake kairuka ameweka Jumanne na Jumatano ni sababu gani zilizomfanya airuke hii siku ya Jumatatu ni ujanja wa kuwafanya wenzake mazuzu ilii wasiende mahakani wapoteze wateja

Pili mamlaka ya lisu juu ya wanasheria, inajulika kabisa chini ya section 8 ya
Advocate act kuwa mwenye mamlaka ya kukuapisha na kukupa prectising certificate ni jaji mkuu na ndo mwenye mamlaka na maamuzi sahihi Lissu kwenye chama ni sawa na monitor wa darasa ambae hana mamlaka ya kukuachisha shule ila kukuongoza usipige kelele au kukubebea daftari hivyo mwalimu ndo mwenye mamlaka ya kukufuta shule na ndivyo ilivyo kwa Lissu atakuponza ugome then ukifutiwa uadvocate hatakuwa na msaada wowote juu ya maisha yako.

Tatu katika mgomo huo atasimamishaje mahakama, wanasheria wa serikali, na watu binafsi na vipi hakimu au jaji akitoa judgement in exparte yeye Lissu atakussaidiaje maana katika tamko lake la mgomo hajafafanua juu hili endapo mahakama ikaendelea yeye atachukua hatua zipi ina maana utapoteza kazi au utampoteza mteja mwisho wa siku utarudi kulima kwenu.

Nne mara nyingi wanasheria wamekuwa wakijigamba kuwa ili uonekana guillty lazima mahakama ithibitishe beyond reasonable doubt (pasipo shaka) je vipi yeye amethibitishaje juu ya hili na kwa nini anataka kuulisha uma chuki kwa kuuaminisha kuwa lile bomu ni la serikali wakati hajathibitisha pengine kuna maadui wengine mi naona asitake kuwaforce wenzake wamfuate kwa uongeaji wake usio mimi na mipaka then awaalike kumsaidia wakati hajui wanakulaje, wanaishije na wanamikataba gani na wateje wao, je Lissu atawalipia kodi, kuwalisha hapa mjini.

Kwa ushauri wangu wanasheria msikubali kufuata mkumbo yeye ana kazi nyingi na analipwa sehemu nyingi, ubunge, CHADEMA na sheria ni nyongeza mumwachie mwenyewe apambane na hali yake asialike za wenzake maana hamkumtuma kutoa brake mdomoni kwake akili za kuambiwa ongeza na zako inawezekana kwa ujanja wake kachukua diary yake kaangalia siku ambazo hana kesi ndo kaziweka ziwe za mgomo then wewe ugome ufungiwe yeye aendelee na kazi zake.
Tamko lililotolewa ni Tamko la TLS Governing Council. Lissu kaja kuleta kilichoamulia! So before Posting your shits in here, waambie wanaokutuma wakuandae vizuri! Na Hakuna aliesema ni lazima kugoma, ni utashi, hutaadhibiwa na yeyote, sijui hayo Mambo ya Kiranja na Mwalimu yanatoka wapi, na kaa ukijua Kuna Makosa ya Kukusababishia Kunyimwa leseni ya Uwakili na Makosa mengine ya kawaida yenye maonyo na adhabu za kawaida.
Kabla ya kuja na ngonjera zenu ni vema mkaelewa the motive behind hicho kinachoitwa mgomo! Na kaa ukijua kuwa Mgomo pia ni Haki ya Raia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Wasaliti hata ndani ya TLS wamo pia. Hivyo hakuna la kustaajabisha hapa lakini walio wengi watasimama bega kwa bega na Kamanda Lissu.

Ndugu yangu kubishana na mtu anayetanguliza utashi wake kuliko uhalisia wa jambo mnalobishania ni kazi ngumu sana.
 
Tamko lililotolewa ni Tamko la TLS Governing Council. Lissu kaja kuleta kilichoamulia! So before Posting your shits in here, waambie wanaokutuma wakuandae vizuri! Na Hakuna aliesema ni lazima kugoma, ni utashi, hutaadhibiwa na yeyote, sijui hayo Mambo ya Kiranja na Mwalimu yanatoka wapi, na kaa ukijua Kuna Makosa ya Kukusababishia Kunyimwa leseni ya Uwakili na Makosa mengine ya kawaida yenye maonyo na adhabu za kawaida.
Kabla ya kuja na ngonjera zenu ni vema mkaelewa the motive behind hicho kinachoitwa mgomo! Na kaa ukijua kuwa Mgomo pia ni Haki ya Raia!

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona umelipuka great thinker acha papara tafakari kwanza
 
Back
Top Bottom