Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Mh! Wasaliti hata ndani ya TLS wamo pia. Hivyo hakuna la kustaajabisha hapa lakini walio wengi watasimama bega kwa bega na Kamanda Lissu.
huo sio usaliti wanasheria sio mazuzu wa kufuata tuu mkumbo eti kisa raisi kasema huyo raisi hajui maisha ya mmoja yeye analipwa, vpi kwa kajamba nani ambaye anautegemea muhuri wake tuache ushabiki wa kipuuzi kila mtu ashike akili zake hilo bomu limerushwa na serikali mpka wanasheria waunge mkono
 
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha lakini yeye siku ya kesi yake kairuka ameweka Jumanne na Jumatano ni sababu gani zilizomfanya airuke hii siku ya Jumatatu ni ujanja wa kuwafanya wenzake mazuzu ilii wasiende mahakani wapoteze wateja

Pili mamlaka ya lisu juu ya wanasheria, inajulika kabisa chini ya section 8 ya
Advocate act kuwa mwenye mamlaka ya kukuapisha na kukupa prectising certificate ni jaji mkuu na ndo mwenye mamlaka na maamuzi sahihi Lissu kwenye chama ni sawa na monitor wa darasa ambae hana mamlaka ya kukuachisha shule ila kukuongoza usipige kelele au kukubebea daftari hivyo mwalimu ndo mwenye mamlaka ya kukufuta shule na ndivyo ilivyo kwa Lissu atakuponza ugome then ukifutiwa uadvocate hatakuwa na msaada wowote juu ya maisha yako.

Tatu katika mgomo huo atasimamishaje mahakama, wanasheria wa serikali, na watu binafsi na vipi hakimu au jaji akitoa judgement in exparte yeye Lissu atakussaidiaje maana katika tamko lake la mgomo hajafafanua juu hili endapo mahakama ikaendelea yeye atachukua hatua zipi ina maana utapoteza kazi au utampoteza mteja mwisho wa siku utarudi kulima kwenu.

Nne mara nyingi wanasheria wamekuwa wakijigamba kuwa ili uonekana guillty lazima mahakama ithibitishe beyond reasonable doubt (pasipo shaka) je vipi yeye amethibitishaje juu ya hili na kwa nini anataka kuulisha uma chuki kwa kuuaminisha kuwa lile bomu ni la serikali wakati hajathibitisha pengine kuna maadui wengine mi naona asitake kuwaforce wenzake wamfuate kwa uongeaji wake usio mimi na mipaka then awaalike kumsaidia wakati hajui wanakulaje, wanaishije na wanamikataba gani na wateje wao, je Lissu atawalipia kodi, kuwalisha hapa mjini.

Kwa ushauri wangu wanasheria msikubali kufuata mkumbo yeye ana kazi nyingi na analipwa sehemu nyingi, ubunge, CHADEMA na sheria ni nyongeza mumwachie mwenyewe apambane na hali yake asialike za wenzake maana hamkumtuma kutoa brake mdomoni kwake akili za kuambiwa ongeza na zako inawezekana kwa ujanja wake kachukua diary yake kaangalia siku ambazo hana kesi ndo kaziweka ziwe za mgomo then wewe ugome ufungiwe yeye aendelee na kazi zake.

Duh aisee huyu lissu Kiboko nchi yenyewe haina jaji mkuu dah kazi kweli kweli
 
Ccm acheni umbea,tajeni majina ya hao wanasheria waliomgomeaLisu.chama kizima ni wazushi,waongo wambea walalamishi kuanzia juu hadi tarishi wa ofisi za ccm ! Hamuoni aibu ? Kupiga mabomu watu mikutanoni nyie,kulipua mabomu ofisi za wanasheria nyie,kukurupuka na ACACIA nyie, kukurupuka na Canada nyie kukurupuka na Lisu bungeni juu ya makinikia nyie,na hakuna mnaloshinda,yote ni aibu kubwa,fedheha na simanzi,vinavyowarudieni !.itoshe tu sasa mjue Lisu ni kiboko yenu,hamumuwezi na serikali yenu,yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waalimu wetu wa hasa shule za msingi, pamoja na kwamba mishahara kiduchu, mazingira ya kazi magumu, mishahara kuchelewa na shida kadhaa, hawajawahi hata siku moja kutamka watagoma, kweli naamini dunia iko tofauti kati ya mtu na mtu...
 
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha lakini yeye siku ya kesi yake kairuka ameweka Jumanne na Jumatano ni sababu gani zilizomfanya airuke hii siku ya Jumatatu ni ujanja wa kuwafanya wenzake mazuzu ilii wasiende mahakani wapoteze wateja

Pili mamlaka ya lisu juu ya wanasheria, inajulika kabisa chini ya section 8 ya
Advocate act kuwa mwenye mamlaka ya kukuapisha na kukupa prectising certificate ni jaji mkuu na ndo mwenye mamlaka na maamuzi sahihi Lissu kwenye chama ni sawa na monitor wa darasa ambae hana mamlaka ya kukuachisha shule ila kukuongoza usipige kelele au kukubebea daftari hivyo mwalimu ndo mwenye mamlaka ya kukufuta shule na ndivyo ilivyo kwa Lissu atakuponza ugome then ukifutiwa uadvocate hatakuwa na msaada wowote juu ya maisha yako.

Tatu katika mgomo huo atasimamishaje mahakama, wanasheria wa serikali, na watu binafsi na vipi hakimu au jaji akitoa judgement in exparte yeye Lissu atakussaidiaje maana katika tamko lake la mgomo hajafafanua juu hili endapo mahakama ikaendelea yeye atachukua hatua zipi ina maana utapoteza kazi au utampoteza mteja mwisho wa siku utarudi kulima kwenu.

Nne mara nyingi wanasheria wamekuwa wakijigamba kuwa ili uonekana guillty lazima mahakama ithibitishe beyond reasonable doubt (pasipo shaka) je vipi yeye amethibitishaje juu ya hili na kwa nini anataka kuulisha uma chuki kwa kuuaminisha kuwa lile bomu ni la serikali wakati hajathibitisha pengine kuna maadui wengine mi naona asitake kuwaforce wenzake wamfuate kwa uongeaji wake usio mimi na mipaka then awaalike kumsaidia wakati hajui wanakulaje, wanaishije na wanamikataba gani na wateje wao, je Lissu atawalipia kodi, kuwalisha hapa mjini.

Kwa ushauri wangu wanasheria msikubali kufuata mkumbo yeye ana kazi nyingi na analipwa sehemu nyingi, ubunge, CHADEMA na sheria ni nyongeza mumwachie mwenyewe apambane na hali yake asialike za wenzake maana hamkumtuma kutoa brake mdomoni kwake akili za kuambiwa ongeza na zako inawezekana kwa ujanja wake kachukua diary yake kaangalia siku ambazo hana kesi ndo kaziweka ziwe za mgomo then wewe ugome ufungiwe yeye aendelee na kazi zake.
Hivi alisema wagomee kwenda mahakamani KAMA MAWAKILI AU KAMA WASHITAKIWA?
 
Je wajua kuwa tanzania haina JAJI MKUU?
 
Mh! Wasaliti hata ndani ya TLS wamo pia. Hivyo hakuna la kustaajabisha hapa lakini walio wengi watasimama bega kwa bega na Kamanda Lissu.
Lissu kidomodomo wenu safari hii ametwanga maji kwenye kinu Na kwenye mkutano wa Arusha mwezi ujao anang'olewa kutoka kwenye huo urais
 
Sasa iweje wengi wao wako na Lissu? Hao wengine wanafuata mkumbo wa dikteta uchwara. Hivyo ni wanasheria uchwara kama wangekuwa wanathamini sheria basi upindishwaji wa sheria nchini ikiwemo kudharau Bunge, katiba na sheria za nchi wangeupinga kwa nguvu zote.

huo sio usaliti wanasheria sio mazuzu wa kufuata tuu mkumbo eti kisa raisi kasema huyo raisi hajui maisha ya mmoja yeye analipwa, vpi kwa kajamba nani ambaye anautegemea muhuri wake tuache ushabiki wa kipuuzi kila mtu ashike akili zake hilo bomu limerushwa na serikali mpka wanasheria waunge mkono
 
Ni swali ambalo nimejiuliza tu Kulikuwa na kigezo gani cha kuruka siku ya Jumatatu kwa Mawakili kutoenda mahakamani kwa wito uliotolewa na Rais wa TLS Tundu Lissu badala yake akachagua Jumanne na Jumatano.

Jumatatu kesi imesikilizwa huyo Tundu Lissu

Kuna nini hapo kwa huyo Rais wa TLS kuhusu Haki za wengine?

Kwanini hakupanga Jumatatu na Jumanne?
 
Back
Top Bottom