barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
Ni selfish sana huyu Tundu Lissu, alijua kesi uake ni jumatatu hivyo lazima mawakili wanaomtetea wawepo kazini, kwake hajali wengine.
Hakuna anayekosa usingizi ila hatendi Haki kwa wengine kama kweli ni msemakweli!Mbona mnakosa usingizi kwa Tundu Lissu?
Kabisa
Lissu hatendi Haki kwa wenzake halafu anasema ni mtetezi wa HakiMkuu, [HASHTAG]#tramadol[/HASHTAG], umewaza vizuri sana.
Anawaombea wenzie njaaaa na wenye kesi. Ila yeye anaogopa kucheleweshewa kesi yake.
Huo ndiyo unafiki wa wanasiasa kama huyo LT.
Na hilo ndilo kila mmoja anasubiriTundu Lissu anawafanya mawakili wenzake kama mazuzu siku ya kesi yake hakugoma kwani anajua angegoma nini kingefuata halafu anataka wenzake wagome.Ngoja wagome waone nini kitatokea
Jamani hakuna watu wakuzungumzia ni Lisu tuu? Tutanue akili tutafte mengne sio mda wote LisuNi swali ambalo nimejiuliza tu Kulikuwa na kigezo gani cha kuruka siku ya Jumatatu kwa Mawakili kutoenda mahakamani kwa wito uliotolewa na Rais wa TLS Tundu Lissu badala yake akachagua Jumanne na Jumatano.
Jumatatu kesi imesikilizwa huyo Tundu Lissu
Kuna nini hapo kwa huyo Rais wa TLS kuhusu Haki za wengine?
Kwanini hakupanga Jumatatu na Jumanne?
Mmemshtaki ili mthibitishe kosa mumfunge au sio?Hakuna anayekosa usingizi ila hatendi Haki kwa wengine kama kweli ni msemakweli!
kwa hiyo za wengine hazina umuhimu kasoro zake ndo maana akapanga mgomo kwenye kesi za wenzakeMmemshtaki ili mthibitishe kosa mumfunge au sio?
Oneni umuhimu wa kusikiliza kesi yake.
Msije kusema "anachelewesha muda kuogopa ugumu wa kesi"
Haya ni maandalizi ya kisaikolijia.Jamani hakuna watu wakuzungumzia ni Lisu tuu? Tutanue akili tutafte mengne sio mda wote Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umuhimu kwenu, maana uchochezi alioufanya unaweza kusababisha vurugu kubwa usipodhibitiwa au mlimaanisha tofauti?kwa hiyo za wengine hazina umuhimu kasoro zake ndo maana akapanga mgomo kwenye kesi za wenzake
Sio mawazo ya Lisu ni mapendekezo ya TLS na hata kama TLS wangesema waanze jtatu mngesema kuwa Lisu kachagua siku ya kesi yake ili asiende mahakamani. Akili za maccm changanya na za bashiteNi swali ambalo nimejiuliza tu Kulikuwa na kigezo gani cha kuruka siku ya Jumatatu kwa Mawakili kutoenda mahakamani kwa wito uliotolewa na Rais wa TLS Tundu Lissu badala yake akachagua Jumanne na Jumatano.
Jumatatu kesi imesikilizwa huyo Tundu Lissu
Kuna nini hapo kwa huyo Rais wa TLS kuhusu Haki za wengine?
Kwanini hakupanga Jumatatu na Jumanne?
Usingizi wanakosa wateja wa hao mawakili watakaogoma.Mbona mnakosa usingizi kwa Tundu Lissu?
Hii nchi kwa sasa kila mtu ametengeneza jumuiya ya mazuzu wake, hawafikirii kabisa ni mihemko mwanzo mwishoTundu Lissu anawafanya mawakili wenzake kama mazuzu siku ya kesi yake hakugoma kwani anajua angegoma nini kingefuata halafu anataka wenzake wagome.Ngoja wagome waone nini kitatokea
kabisa kama vile tupo katika bwawa la kambale kila mmoja ana sharubuHii nchi kwa sasa kila mtu ametengeneza jumuiya ya mazuzu wake, hawafikirii kabisa ni mihemko mwanzo mwisho