professor aliwaita engineer,scientist na mwanasheria na akwaanza kuwauliza maswali
Professor: mbili jumlisha mbili ni ngapi???
Engineer: Jibu ni nne
Scientist: Jibu ni 3.999
Mwanasheri😛rofessor wewe unataka jibu liwe ngapi????
Mi nimeelewa.ina maana mwnasheri huwa hana jibu maalum huwa anatoa jibu kulingana na mteja au mhusika atakavyo taka.ndio maana wakili anamtete mtuhumiwa hata kama anakosa.anatetewa kwa refference tofauti mpaka anashinda kesi.nawakilisha.