Wadau nahitaji msaada wa mawazo ya kisheria.
Nina mtoto mmoja ambaye baba yake hatupo pamoja kwa sasa na hataki kukubaliana na ukweli,kila siku anakaa akijua ya kuwa tutakuwa wote for the sake of the child, ambapo nimemwambia haiwezekani.
Kilichonifanya niandike hapa ni vitisho kutoka kwake kuwa akifika miaka saba atamchukua. Kwakweli sijui sheria zinavyosema kuhusu situation kama hiyo.
Nahitaji msaada please ili nijue jinsi ya kukabili swala hili hapo huo muda utakapofika. Asanteni.