Wanasheria (LAWYERS), mpo?

Mziba

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
245
109
Huyu Slaa naona anahitaji msaada wa wanasheria. hii jumuiya yenu inaheshimika na watanzania wote. zungumzeni ukweli. hali za watu wa vijijini na watu wengi wa mijini ni mbaya mno sote tunazifahamu. nyie mnajua. Democrasia imefuatwa sasa imekuaje? watu wanataka jemadari mungine wazee hata mzee nyerere sialikubali kuondoka,. Sasa wakuu mnamsimamo gani. Mimi ni Muhasibu.
 
Hivi Mods, mnaverify vipi mtu wa kumwingiza hapa?...Nadhani muanzishe japo questionaire ya common-sense!...itatusaidia ku'eliminate WAPUMBAVU!
 
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayesema yupo mahabusu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.
 
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayejiita mhasibu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.
 
Unaehitaji msaada ni wewe mwewe usiejua hata kuandika neno kwa kiswahili - "Muhasibu" ?
 
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayejiita mhasibu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.[/QUOTE]
Kwanini mkuu!

Aise, mimi kama wanasheria wenyewe ni elitist namna hii asanteni. Lakini na nyie mnakaribishwa na baadhi yenu nimewaona kwenye Jukwaa La Business na Economics. you need to get your acts together. You are not the only lawyers in East Africa. You left the gate open for public so Demokrasi labda inamaana nyingine kwenu mabwana siri-kali. sirudi hapa hata mnipe hela. audhubililahi mina nari.
 
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayejiita mhasibu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.

Yeah, go ahead, make my day!

THANK YOU!!!!!!!
 
Hivi Mods, mnaverify vipi mtu wa kumwingiza hapa?...Nadhani muanzishe japo questionaire ya common-sense!...itatusaidia ku'eliminate WAPUMBAVU!

Thanks Cracker!!!!! i like your quote tho. Tru dat! Mkuu, wameacha mlango wazi kama kilabuni vile. nami ndio nikadondosha kawazo kangu.
 
wanasheria mnatakiwa mjibu hoja na sio kutukanan, na kama ni kweli nyie ni wanasheria mliomtukana huyu jamaa aliyeleta hoja yake napata wasi wasi kuhusu uanasheria wenu
 
wanasheria mnatakiwa mjibu hoja na sio kutukanan, na kama ni kweli nyie ni wanasheria mliomtukana huyu jamaa aliyeleta hoja yake napata wasi wasi kuhusu uanasheria wenu

Tafadhali FisadiMtarajiwa, wape khabibi wape, hawa wanaovaa ngozi za kondoo, wape baba!

THIS IS A SMOKING GUN, WE NEED OTHERS ADVOCATES NOT THE ONES ON JAMII FORUMS. Who is actually the principle moderator of this forums. THIS IS NOT THE ONLY PLACE. PLEASE GET RID OF THESE BAD APPLES, What kind of advocate would be insulting people like that? Aibu kwa shule, jamii forums, serikali, business atc. Can you guys really stand the challenge of EAC? I mean this is sad!
 
Watu wengine wana akili za kima,wakati kama huu tunatafakari yaliyotokea halafu anaibuka huyu mpuuzi anayesema yupo mahabusu,kwanza afutiwe uanachama au ahamishiwe tarime.

Nilidhani alisema yeye kitaaluma ni MHASIBU! Duh taabu kweli kweli!
 
Nilidhani alisema yeye kitaaluma ni MHASIBU! Duh taabu kweli kweli!

Asante mkuu Njilembera, mkuu hizi kampuni za wanasheria wa Dar Es Salaam, yanahiji at least operational audit for to maintain quality control. It could be nice if they all get fincial audit as well. so we know where the money come from. Hili linaweza kua ndio Chicha la Mafisadi Mababa. achana na wafisadi wa politikin. hawa ndio wanaondika hii mikataba ya ulighai..(kama akina Ramazani Mkalimani) kwanza hata kikwete mwenyewe akita awatie kamshike mshike. Its unbelievable. wakuu nisaidie kuwakumbusha hawa matajiri.
 
Back
Top Bottom