Wanasheria hawa wanatutia aibu, elimu yetu imeshuka?

Wanasheria hawa wanatutia aibu, elimu yetu imeshuka?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Wanabisha nini, kwamba Lissu hakusema kama ataasi? Kwamba Lissu hakusema atavunja Katiba na sheria kwa kuzuia uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi nzima ili nchi ibaki bila ya Rais?

Kile wanachobisha hawa wanasheria wetu ni kipi, kwamba hakuna mtu (shahidi) aliyesikia kile Lissu alichokisema? Kwanini wanawachukia hao mashahidi, uongo wao hawa mashahidi ni upi?

Yaani wanachotamani hawa wanasheria wetu ni kusikia kuwa hakuna mtu aliyemuona wala kumsikia Lissu akisema wataasi, watakinukisha na watazuia uchaguzi usifanyike. Automatically kama hakuna uchaguzi hakuna Rais halali. Watanzania wote wameona namna maneno ya Lissu ya kuasi yalivyotekelezwa Oct 29 sawasawa na kauli yake ya kuasi.

View: https://www.youtube.com/live/a8Ao0J7cMWQ?si=QBYHRJVlJOiF8iDv
 
Ndiyo mwisho wa kutumia ubongo wako kufikikiri hata bila kuangalia sheria inasemaje?? Kesi inayomkabili Mh Lisu ni "UHAINI" Kuna shahidi uliyemsikia akitoa ushahidi wa namna ya Mh Lisu kuipindua serikali zaidi ya ngonjera za uchochezi??

Naelewa sasa kwanini upande wa Jamhuri wameng'ang'ania mashahidi wa kificho. Ni mtu mmoja kama wewe eti ana ushahidi wa kutosha. Mwisho wa siku Jamhuri wanaona wakufanyie rotation kwenye lile box kama mashahidi tofauti kumbe ni mpuuzi yule yule tu anabadilisha majina kazi na maeneo atokako.
 
Lissu mwenyewe ametoa tafsiri ya kukinukisha aliyokuwa amekusudia. Wote tulijionea kilichotokea Oct29, alimaanisha kile, kweli ni mhaini, achana na mambo ya jangles za kisheria. Ukate ulioliwa na panya unafahamina na ule ulioliwa na paka unafahamika pia. Huwezi kucheza na maisha yetu kwa sheria hizi mbovu zilizoko.
 
Tunaonekana JF haina watu timamu, kumbe mpuuzi mmoja tu
wewe ndiye unaonekana huna akili. Lissu aliposema atanikunisha sana wewe kama mwehu hukushituka? Ulidhani kunukisha ni kukupakua hadi harufu ijitokeze? Watanzania wakiwemo majaji walimsikia Lissu akijiapiza kuwa lazima Oct29 atakinukisha vibaya sana na kweli Oct29 kweli vituo vya polisi vilichomwa moto na kuporwa silaha na sare za polisi zilizotumika kuua ovyo askari polisi na watu, na mali nyingine zikiwemo vituo vya kura, sheli, mwendokasi, TRA, majengo ya serikali na CCM kuchomwa na kuharibiwa. Huko mahakamani wanatafuta ushahidi gani? Lissu anatakiwa kuthibitisha kama kauli zake zile sio sehemu ya kile kilichotokea oct29.
 
Huyu lazima atakuwa shabiki wa yanga, washabiki wengine wa yanga mnisamehe ila mwambieni anawaaibisha.
 
Back
Top Bottom