Wanasayansi wanapozidi mipaka

Wanasayansi wanapozidi mipaka

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1430901155.526293.jpg
 
Hapa wanasayansi hawajavuka mpaka kwa sababu sayansi haina mipaka. Hapa wamevumbua mambo makubwa!
Bila shaka kitakachofuata sasa ni simu ambayo ukiingia nayo chumbani na demu unabonyeza button na mara nguo za demu
zinavuliwa - mpaka pichu!

Kwanin usiwaze simu inayokukwepesha kwenye foleni?
 
mimi nahitaji watengeneze phone pills, hizo pills ziwe configure with your body system, mtu akikupigia simu unasikia simu inaita kichwani unatingisha kichwa kulia kushoto mara mbili, simu inapokea na unaongea kama vile kuna mtu kando yako, kukata simu unatingisha kichwa juu chini mara mbili simu inakatika.
 
Kila kitu kinawezekana
 
Am sure they can, just a mater of time!
 
Kwanin usiwaze simu inayokukwepesha kwenye foleni?
Foleni si kitu kilichonikaa kwenye ubongo wangu maana naishi huku kijijini kwenye madongo kuliwa
na mchwa na kama foleni unayozungumzia ni ya magari, huku magari twayaona tu siku ya soko.simu ya kumvua
demu nguo ni hitaji muhimu la wanaume. Au Bulldog?
 
Last edited by a moderator:

Basi ntakufanyia mpango simu ya kujaza hela kwenye akaunti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom