Upo ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Mungu kwa maana ya creator alikuwepo. Haiingii akili kwa mtu kudhani viumbe hai hawakutengenezwa na mazingira haya yanayotuzunguka yalitukia yenyewe tu.
lakini ni kichekesho kikubwa kwa mtu yeyote leo kudai kitu au vitu vilivyokuwa na nguvu na uelewa huu wa ajabu leo hii vipo vinanongoneza watu kwenye ndoto, maono, kutafutia watu kazi, kutafutia watu wachumba n.k.
hakuna anayefurahi kutokuwepo kwa mungu lakini ni lazima tutizame ukweli wa mambo katika uhalisia wake.