Wanasayansi tunaamini Mungu alikuwepo lakini kwa sasa hayupo

Upo ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Mungu kwa maana ya creator alikuwepo. Haiingii akili kwa mtu kudhani viumbe hai hawakutengenezwa na mazingira haya yanayotuzunguka yalitukia yenyewe tu.

lakini ni kichekesho kikubwa kwa mtu yeyote leo kudai kitu au vitu vilivyokuwa na nguvu na uelewa huu wa ajabu leo hii vipo vinanongoneza watu kwenye ndoto, maono, kutafutia watu kazi, kutafutia watu wachumba n.k.

hakuna anayefurahi kutokuwepo kwa mungu lakini ni lazima tutizame ukweli wa mambo katika uhalisia wake.
Kaenda wapi sasa mpaka asiwepo??? Hiyo ni elimu dunia tukija kiimani ni mungu yupo jana leo na hata milele,
So ya kaisali mpe kaisali
.....
 
Kiukweli uwepo wa mungu siutilii shaka. Tatizo ni ukweli kumhusu huyu mungu, kwa mfano vitabu vya biblia viliandikwa na wengi wao wakiwa wa israeli. Tuna uhakika gani kua zile sio propaganda tu za kuhalalisha matendo yao na kutaka waonekani ni wateule wa huyo mungu. Pia biblia inasema mungu ni upendo na anatupenda sana lakini sehemu kubwa ya biblia mungu ana fanya mauaji ya holela na unyama wa kutisha au ana waamuru waisraeli wafanye hayo mauaji. Yaani ukianza kusoma agano la kale ni vitisho na umwagaji damu na sheria zisizo na vichwa wala miguu. Sasa basi kama kweli mungu yupo na ni upendo basi vitabu vya biblia na hata vile vya kiislamu ni propaganda tupu. Ukweli yeye hataki tuujue na ndio maana haonekani wala hajishugulishi na maisha ya watu. Wengi wanatilia shaka uwepo wa mungu ila wanaogopa kutoa maoni yao kwa kua jamii inakuona kama mtenda dhabi flani hivi, wakati huohuo jamii inaamini propaganda za dini ambazo zimejaa unyama na vitisho vitupu.
 
Mbna hueleweki kichwa cha habar na habar tofauti

usichukue kichwa cha habari ukaimagine contents zako ukitegemea kukuta hizo. habari yoyote ukisoma heading jifanye hujui chochote na utakachokikuta soma hicho ukielewe.
 
yapo mambo ambayo logically leo hii ukiambiwa yalitokea yenyewe kuna mantiki, mfano tazama mawe yalivyo hayana umbo maalumu, hayana ukubwa maalumu yaani utengenezwaji wake unaonekana kutofuata kanuni maalumu.

lakini hebu chukua simu yako ya mkononi na je unaweza kuamini kuwa kitu kama simu ya mkononi inaweza kutokea yenyewe ikawa na functions hizo unazozitumia?

jiulize kompyuta inaweza kutokea yenyewe?

sasa tuje kwako wewe mwenyewe, je wajua mwili wako ulivyo una mifumo kuliko ya kompyuta? je unadhani kiumbe kama wewe hukutengenezwa bali ulitokea mwenyewe ukawa na mifumo inayoonekana kutengenezwa kwa kanuni na kwa lengo?

ni wazi wanadamu hawa walitengenezwa na kilichowatengeneza ndicho mungu.
Most things and phenomenons are illogical... Yet they are real.
Watch out ...
 
Upo ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Mungu kwa maana ya creator alikuwepo. Haiingii akili kwa mtu kudhani viumbe hai hawakutengenezwa na mazingira haya yanayotuzunguka yalitukia yenyewe tu.

lakini ni kichekesho kikubwa kwa mtu yeyote leo kudai kitu au vitu vilivyokuwa na nguvu na uelewa huu wa ajabu leo hii vipo vinanongoneza watu kwenye ndoto, maono, kutafutia watu kazi, kutafutia watu wachumba n.k.

hakuna anayefurahi kutokuwepo kwa mungu lakini ni lazima tutizame ukweli wa mambo katika uhalisia wake.
Ssa mungu ameenda wapi??amejificha??amepotea??
 
Nina mashaka na elim yako

una haki ya kutilia shaka unayetofautiana naye kimawazo lakini hii ni changamoto kwako kuwaza vizuri elimu yako hiyo unayoiamini umeipata wapi? je ulishawahi kukutana na mungu mwenyewe? kama hujawahi je una uhakika gani anayekuletea habari kama ni ya kweli? je kwa nini mungu asije kuongea nanyi siku moja mnapokusanyika eti mpaka asubiri mmoja wenu amesinzia ndio amnongoneze na yeye awaletee habari?

ni rahisi kutafuta justification answer kwa ajili ya kubishana na kushinda ubishi lakini jambo hili linahitaji kutafakari kwa kina kuliko kukimbilia kubishana
 
Upo ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Mungu kwa maana ya creator alikuwepo. Haiingii akili kwa mtu kudhani viumbe hai hawakutengenezwa na mazingira haya yanayotuzunguka yalitukia yenyewe tu.

lakini ni kichekesho kikubwa kwa mtu yeyote leo kudai kitu au vitu vilivyokuwa na nguvu na uelewa huu wa ajabu leo hii vipo vinanongoneza watu kwenye ndoto, maono, kutafutia watu kazi, kutafutia watu wachumba n.k.

hakuna anayefurahi kutokuwepo kwa mungu lakini ni lazima tutizame ukweli wa mambo katika uhalisia wake.
Wewe utakua ni mwana "Sayansi kimu" sio "Mwana sayansi"
 
Kuna sayansi ya siasa siku hizi huwenda unazungumzia sayansi ya siasa.

Kama unaamini MUNGU alikuwepo sasa hivi kipi kimekuaminisha kuwa hayupo?
 
yawezekana kuna nguvu inayoongoza vitu kutokea.lakini hiyo nguvu haiwezekani ikawa hii ambayo usipo iabudu itakuchoma siku moja.kuna sababu gani ya kutengeneza kitu halafu baadae ukiharibu kwa mateso makubwa hali ukijinasibu wewe ni upendo?kama sio upendeleo kwanini alichagua taifa lake na kulibariki?refer to bible wakati huo huo atahukumu watusawa wabarikiwa na wasio wabarikiwa?
we show up on this planet,make disturbances and just fade away.no more,
 
Yupo na ndio amekufanya uandike ulichoandika

huwezi kujibu maswali magumu kama haya kwa majibu mepesi eti kama hayupo ulitoka wapi, eti ndiye kakuwezesha kuandika leo.

tunahitaji evidence kuonyesha kweli yupo na anafanya kazi kama alizokuwa akfanya
 
Mkuu usichanganye sayansi na dini, haviendani hata kidogo.

Mimi ni moja ya watu wasioamini uwepo wa a supernatural being ambayo imetuweka hapa inatuangalia daily. Sababu yangu ni simply because hai~make sense, na I can't prove it. What I can prove though ni kua dini nyingi zinapingana na kila moja iki-claim kua ndiyo ya kweli.

Siwezi pia kusema Mungu hayupo kwa sababu ati anaona maovu anayashangaa tu kwa kua kama angekuwepo akijionyesha wazi leo hii nani ataamini kua s/he/it is God? na hata kama kila mtu atamuamini, everyone will probably live in fear, coz now they all know kua there's something out there watching our every move, hii alone ni reason enough ya yeye kutojionyesha, ingekua mimi nisingejionyesha.

I don't believe in God though, I do question his existence, which is better yeye kuwepo au kutokuwepo, that is subjective, very long discussion na uwepo wake utaleta paradoxes nyingi sana, unless awe limited in power, ila kama ni unlimited kama story zinavyosema then it's both a good thing and a bad thing, akipata hasira ka za anayetamani kua IGP hapatokalika.

Anayesema kuna vitu illogical ni kwa kua hajajaribu kuweka logic au amejilimiit, sayansi inakua daily, na given enough time tutagundua mambo mengi mno ambayo leo hii yanaweza onekana ka uchawi. Hata Newton alijilimit kwenye Mathematica Principia akaandika kuna mkono wa Mungu baada ya kushindwa kuelezea phenomena flani ambayo leo hii hata mtoto wa sekondari anaweza kuelezea.
 
Mtoa mada endelea na maovu yako achana na mambo ya muumbaji. Mungu yupo na ni wa kuogofya hivyo linda kinywa chako usijepata misukosuko ukaanza kutafuta waganga wa kienyeji.
 
mimi mwanasayansi naamini Alikuwapo,Yupo na Atakuwapo daima na milele
 
Kuna jamaa yangu nilibishana nae juu ya mada hii kitambo kidogo...
Hali ilivyo ni kama Mola haijulikani alipo, huko kwenye makazi yake.
Hii concept niliipata baada ya kua mpenzi sana wa aina fulani ya filamu toka Hollywood... Mfano Fallen, Dominion, Preacher, the Messenger etc.
Film zote hizi theme yake kubwa ni kutoweka kwa muumba huku akiuacha ufalme wake bila taarifa.
Wale high ranking angels (arc angels) Ndio wana control mambo yote huko.
Na kwakua Hollywood is satanic runned inawezekana kukawa kuna ukweli au la... Ukizingatia Lucifer ni kiumbe pekee kilicho wahi fika na kuishi huko.
Binafsi naona kama wanacho kizungumzia kina make sense.
 
Mkuu usichanganye sayansi na dini, haviendani hata kidogo.

Mimi ni moja ya watu wasioamini uwepo wa a supernatural being ambayo imetuweka hapa inatuangalia daily. Sababu yangu ni simply because hai~make sense, na I can't prove it. What I can prove though ni kua dini nyingi zinapingana na kila moja iki-claim kua ndiyo ya kweli.

Siwezi pia kusema Mungu hayupo kwa sababu ati anaona maovu anayashangaa tu kwa kua kama angekuwepo akijionyesha wazi leo hii nani ataamini kua s/he/it is God? na hata kama kila mtu atamuamini, everyone will probably live in fear, coz now they all know kua there's something out there watching our every move, hii alone ni reason enough ya yeye kutojionyesha, ingekua mimi nisingejionyesha.

I don't believe in God though, I do question his existence, which is better yeye kuwepo au kutokuwepo, that is subjective, very long discussion na uwepo wake utaleta paradoxes nyingi sana, unless awe limited in power, ila kama ni unlimited kama story zinavyosema then it's both a good thing and a bad thing, akipata hasira ka za anayetamani kua IGP hapatokalika.

Anayesema kuna vitu illogical ni kwa kua hajajaribu kuweka logic au amejilimiit, sayansi inakua daily, na given enough time tutagundua mambo mengi mno ambayo leo hii yanaweza onekana ka uchawi. Hata Newton alijilimit kwenye Mathematica Principia akaandika kuna mkono wa Mungu baada ya kushindwa kuelezea phenomena flani ambayo leo hii hata mtoto wa sekondari anaweza kuelezea.

ki msingi wewe ndiwe mtu unayewaza na jamii zinahitaji watu kama wewe ambao wanatengeneza base ya misimamo yao, it does not matter kama tunakubaliana au tunatofautiana.

challenge kubwa ya wanasayansi imekuwa ni waanzie wapi kutafuta ukweli juu ya mungu na hapo ndipo panapoleta utata.

huyu akitafuta mbinu za kusafiri kwenda mbinguni akakosa basi anakata tamaa na kuhitimisha mungu yupo, huyu akijaribu kutazama maovu kuwa kama yupo mbona anawaacha watoto wadogo wasio na hatia wanateseka na huku wahalifu wakitumbua kwa raha.

haya yote hayathibitishi uwepo wa mungu bali nataka nikueleze kitu kimoja ulichokisema kuwa sayansi inakua kila siku na unatakiwa kujua kuwa science starts with gues work katika kujaribu hiki na kile ipo siku wanadamu wanavumbua njia sahihi ya kutafuta ukweli juu ya mungu na kutoa sound proof.
 
Back
Top Bottom