Wanapokosea wapinzani dhidi ya CCM

Wanapokosea wapinzani dhidi ya CCM

Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo...
Hivi kati ya Magufuli na Lissu nani mwenye chuki na mwenziwe?

Anyways hivi huoni kuwa ili kueupuka gharama za ulinzi wa raisi ikiwemo kukodisha walinzi kutoka Rwanda kwa gharama za kodi ya wananchi ni bora kumchagua Raisi ambae akipigwa risasi hafi

NI YEYE TU 2020!!!
 
Uliwahi kumsikia Trump au Obama akipiga kampeni kwa kujisifia amejenga madaraja au barabara? Kipimo cha ubora wa barabara au madaraja ni pale yanapokumbana na hali kama iliyopo ya mvua nyingi.
Zitto na genge lake ni matapeli wa Kisiasa, Marekani siku kama mbili zilizopita yako majimbo kwa siku kadhaa walikosa umeme na huduma nyingine kwa sababu ya huricane/kimbunga. Majanga ya asili yamekuwa mtaji wa kampeni kwa hawa matapeli wa kisiasa Tanzania. Mungu si Athumani katukana miundombinu, nayo ikamkataa kwa ajali, hajajifunza?
 
Bunge lenyewe linafanyika gizani ni mtanzania yupi anayejiuliza hoja ya namna hiyo? Hoja iliyotrend bungeni ni Prof Assad kushughulikiwa hasa aliposema kuna trillion 1.5 hazijulikani zilipo.
Katika makosa waliyoyofanya chadema ambayo yamewaacha watupu mbele ya wapiga kura ni kuzira bunge la bajeti kwenye "karantini" baada ya kuramba podho na baadae kuonekana wakizurura kama watoto mitaani.

Magufuli akigusa hapo inawauma wapiga kura hadi tunatamani uchaguzi uwe kesho tumalize hasira zetu kwenye sanduku! Lissu lazima arudi kwa basha lake Amsterdam!
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa Watanzania? Unadhani ni kwanini Mkapa alitaka tume huru ili kuhakikisha uchaguzi ni huru na wa haki? Unadhani ni kwanini kuna vilio vya Watanzania wengi kura zihesabiwe kwa uwazi na hadharani. Kama wewe hutaki uhuru na haki basi usijikweze kama vile ni msemaji wa Watanzania.
Anajidai ni msemaji wa watanzania angali hana akiki kichwani. Trash
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.

1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni aibu Serikali haina hata ndege moja, walibeza kuwa Shirika la reli limekufa. Awamu ya tano zimenunuliwa ndege na reli imefufuliwa. Wamekosa cha kuongea kwa sasa hawana mpango wa maendeleo ya nchi bali wana bifu na Magufuli. Hawa wakipata nchi ndio wataanza kujiuliza afanye nini.

2. Leo mvua iliyonyesha haikuwa ya kawaida bali mafuriko, cha ajabu Zitto Kabwe amepost akidhihaki juhudi za ujenzi wa miundombinu iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. Huko ulaya mara kadhaa tumeshuhudia mafuriko yakileta maafa sasa sijajua Zitto alitaka nini ili kuzuia mafuriko.

3. Tundu Lissu ananadi uhuru, uhuru gani anaozungumzia maana kwa wananchi sidhani kama tunahitaji uhuru wa kisiasa kama wanaoutaka wao, kwa sababu ukiangalia wao wamezoea kuzua taharuki katika jamii ili wa trend.

NDUGU WATANZANIA TUPIGE KURA KWA WEREDI TUCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA NA SIO MTU MWENYE CHUKI NA MTU.
Hoja zimekosa reality
 
Siku hizi hamuongelei habari ya chamema imekufa, au mikutano ya chadema imekosa nyomi
 
Ogopa mtu mwenye ndimi mbili..Kagera alisema tetemeko hajaleta yeye..leo anawaonea huruma watu waliokumbwa na mafuriko Boko...Lissu 🔧🛠🔧🛠
 
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.

1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni aibu Serikali haina hata ndege moja, walibeza kuwa Shirika la reli limekufa. Awamu ya tano zimenunuliwa ndege na reli imefufuliwa. Wamekosa cha kuongea kwa sasa hawana mpango wa maendeleo ya nchi bali wana bifu na Magufuli. Hawa wakipata nchi ndio wataanza kujiuliza afanye nini.

2. Leo mvua iliyonyesha haikuwa ya kawaida bali mafuriko, cha ajabu Zitto Kabwe amepost akidhihaki juhudi za ujenzi wa miundombinu iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. Huko ulaya mara kadhaa tumeshuhudia mafuriko yakileta maafa sasa sijajua Zitto alitaka nini ili kuzuia mafuriko.

3. Tundu Lissu ananadi uhuru, uhuru gani anaozungumzia maana kwa wananchi sidhani kama tunahitaji uhuru wa kisiasa kama wanaoutaka wao, kwa sababu ukiangalia wao wamezoea kuzua taharuki katika jamii ili wa trend.

NDUGU WATANZANIA TUPIGE KURA KWA WEREDI TUCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA NA SIO MTU MWENYE CHUKI NA MTU.
Yaani wewe hujui hata kama unataka uhuru au la!? Duh Mungu akusaidie ujitambue.
 
Nyie mna mpya gani tushawachoka

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tena chuki mpaka kupiga watu risasi huyo hafai kabisa
 
Back
Top Bottom