Wanapokosea wapinzani dhidi ya CCM

Wanapokosea wapinzani dhidi ya CCM

Uhuru wanaotaka wapinzani ni wa kupanda vichwani mwa watu bila kuulizwa chochote, mfano alivyofanya Lisu kuacha magari kwenye kivuko kwa makusudi akilimwa faini utasikia akisema anaonewa.
 
Wanachotaka wapinzani kiko wazi, ndege ziwepo ila na mashirika binafsi yawepo ili kuwe na ushindani kuchangamsha biashara na wapandaji wawe wengi, mahitaji ya dar nigusie kidogo siyo madaraja ya juu peke yake bali mitaro, barabara za mitaani, magari ya kumwaga uchafu siyo biashara ya makonda, maji sehemu nyingi tunachimba visima hawaki kusogeza ya Bomba, umeme hata uhonge wanaleta kwa kujisikia na manguzo Bei ghali yaani nguzo moja inachangiwa na watu wengi mpaka waya ukaa chinichini, yaani maendeleo yawe yakuangalia matatizo ya jamii kwa vitendo siyo nadhalia za umeme upo wakati niwashida Hadi miundo mbinu yakishikaji inayoleta madhara.
 
Uliwahi kumsikia Trump au Obama akipiga kampeni kwa kujisifia amejenga madaraja au barabara? Kipimo cha ubora wa barabara au madaraja ni pale yanapokumbana na hali kama iliyopo ya mvua nyingi.
Kwani nao bado wanajenga miundombinu? Mi nilikuwa nasikia wao walishakamilisha hayo zamani sana.
 
Tena chuki mpaka kupiga watu risasi huyo hafai kabisaAsili
Asili ya muafrika hua sio kutafakari, mara nyingine ukimwambia Jambo nae analibeba na kuwaambia wengine. Mfano utaratibu wa tume kampeni mwisho saa 12 jioni , Lisu kafanya kampeni mpaka usiku saa 2. Polisi wanatekeleza majukumu yao wanawarekodi halafu wanaanza kurusha mitandaoni kulaghai umma kuwa wanafanyiwa fujo na polisi. Tundu Lisu anajisifu Ni mwanasheria mahili Sasa Kama anaijua Sheria kwa Nini Hana utii wa Sheria. Kama katika kugombea anajiona Yuko juu ya Sheria vipi akiupata huo urais? Watanzania muwe mnatafakari kwanza taarifa mnazopewa kabla mihemko haijawaponza.
 
Ila mautopolo anayofanya jiwe hauyaoni?
 
Ila mautopolo anayofanya jiwe hauyaoni?
Anachokifanya Jiwe ndicho walifanya wazungu wakachuku watumwa kuwatumikisha. Hii hatua tulitakiwa tuwe tumeipita zamani sana. Nikujuze kitu ukifuatilia makampuni makubwa yenye unyeti katika uchumi wa nchi hii CEOs au CHAIRPERSON wake ni Watanzania japo makampuni ni ya kigeni na wengi wamewahi shika nyazifa kubwa serikalini. Unafahamu serikali haina hata kisima kimoja cha gesi Mtwara? Na inauziwa gesi? Kama unakumbuka wakati Jiwe anasema atajenga rufiji alipingwa sana na kina Nyepesi na wapinzani wengine kwa kuwa tu ujerumani alisema tutaharibu mazingira, haingii akilini. Eti ujerumani watuhurumie ili hali inajulikana muuza jenereta mkubwa ni yeye. Ni kweli jiwe analipiza kisasi ila kisasi chake anahakikisha waliohujumu serikali wanajuta. Ukiangalia utaona vita ya sasa ni dhidi ya Jiwe na sio chama chake.
 
Asili ya muafrika hua sio kutafakari, mara nyingine ukimwambia Jambo nae analibeba na kuwaambia wengine. Mfano utaratibu wa tume kampeni mwisho saa 12 jioni , Lisu kafanya kampeni mpaka usiku saa 2. Polisi wanatekeleza majukumu yao wanawarekodi halafu wanaanza kurusha mitandaoni kulaghai umma kuwa wanafanyiwa fujo na polisi. Tundu Lisu anajisifu Ni mwanasheria mahili Sasa Kama anaijua Sheria kwa Nini Hana utii wa Sheria. Kama katika kugombea anajiona Yuko juu ya Sheria vipi akiupata huo urais? Watanzania muwe mnatafakari kwanza taarifa mnazopewa kabla mihemko haijawaponza.
Umeona hilo tu unyanyasaji unafanywa na polisiccm dhidi ya chadema wewe hauuoni?
 
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.

1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni aibu Serikali haina hata ndege moja, walibeza kuwa Shirika la reli limekufa. Awamu ya tano zimenunuliwa ndege na reli imefufuliwa. Wamekosa cha kuongea kwa sasa hawana mpango wa maendeleo ya nchi bali wana bifu na Magufuli. Hawa wakipata nchi ndio wataanza kujiuliza afanye nini.

2. Leo mvua iliyonyesha haikuwa ya kawaida bali mafuriko, cha ajabu Zitto Kabwe amepost akidhihaki juhudi za ujenzi wa miundombinu iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. Huko ulaya mara kadhaa tumeshuhudia mafuriko yakileta maafa sasa sijajua Zitto alitaka nini ili kuzuia mafuriko.

3. Tundu Lissu ananadi uhuru, uhuru gani anaozungumzia maana kwa wananchi sidhani kama tunahitaji uhuru wa kisiasa kama wanaoutaka wao, kwa sababu ukiangalia wao wamezoea kuzua taharuki katika jamii ili wa trend.

NDUGU WATANZANIA TUPIGE KURA KWA WEREDI TUCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA NA SIO MTU MWENYE CHUKI NA MTU.

Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana pengine chini ya darasa la saba. Inaelekea pia kuwa ulisumbuliwa na maradhi kama kwashakoo utotoni mpaka akilia yako ika duma.
Sasa, sasa, sasa majibu yako:
  • Uwepo wa uasafiri wa ndege sio lazima serikaliku invest moja kwa moja kwenye ununuzi wa ndege. Tulikuwa na nafasi ya kujifunza toka kwa wenzetu walio kwenye hiyo Biashara. Kenya airways wana struggle, SA wana struggle big time, Rwand na India the same case. Hao wanandege ziadi ya 80 kila mmoja na bado wanatumia pesa za serikali kujiendesha. Ndio maana shirika letu limefichwa tusione gharama za serikali kuliendeshahata CAG hakagui hilo shirika.
  • Suala la mafuriko huko ulaya angalia kiasi chamvua iliyonyesha ikiendana na tufani ndio ulinganishe na mvua iliyonyesha DSM. La Dar linazuilika kabisa ni ukosefu wa leadership tu. Mafuriko ya Dar ni kila masika and ita is getting worse kila mwaka. Usitake kujustify ujinga. Hakuna mkuu wa mkoa w yeyote haja kabiliana na mafuriko Dar.
  • Hilo la uhuru wala sili ongelei ni mjinga tu amabaye hawezi kuona.
 
Wewe bila shaka ndio wale wanaoteka watu hivyo unaogopa mkipigwa chini huna tena hicho kibarua chako cha kipumbavu.
 
Katika kipindi hiki cha kampeni upinzani hawana jipya kabisa. ntawenda kwa point kama ifuatavyo.

1. Kabla ya awamu ya tano upinzani ndio walilicheka Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kwamba ni aibu Serikali haina hata ndege moja, walibeza kuwa Shirika la reli limekufa. Awamu ya tano zimenunuliwa ndege na reli imefufuliwa. Wamekosa cha kuongea kwa sasa hawana mpango wa maendeleo ya nchi bali wana bifu na Magufuli. Hawa wakipata nchi ndio wataanza kujiuliza afanye nini.

2. Leo mvua iliyonyesha haikuwa ya kawaida bali mafuriko, cha ajabu Zitto Kabwe amepost akidhihaki juhudi za ujenzi wa miundombinu iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5. Huko ulaya mara kadhaa tumeshuhudia mafuriko yakileta maafa sasa sijajua Zitto alitaka nini ili kuzuia mafuriko.

3. Tundu Lissu ananadi uhuru, uhuru gani anaozungumzia maana kwa wananchi sidhani kama tunahitaji uhuru wa kisiasa kama wanaoutaka wao, kwa sababu ukiangalia wao wamezoea kuzua taharuki katika jamii ili wa trend.

NDUGU WATANZANIA TUPIGE KURA KWA WEREDI TUCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA NA SIO MTU MWENYE CHUKI NA MTU.
Tundu lissu ana chuki na nani..wacha upumba wakooo..wewe ungekuw karney hali umekuwa his leo...tungekuwa tumekuzika siku nyingi
 
Zitto na genge lake ni matapeli wa Kisiasa, Marekani siku kama mbili zilizopita yako majimbo kwa siku kadhaa walikosa umeme na huduma nyingine kwa sababu ya huricane/kimbunga.

Majanga ya asili yamekuwa mtaji wa kampeni kwa hawa matapeli wa kisiasa Tanzania. Mungu si Athumani katukana miundombinu, nayo ikamkataa kwa ajali, hajajifunza?
Kama mzee baba n Corona?
 
Ajabu sana adui kukupangia namna ya kushindana nae
 
Back
Top Bottom