ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
KABISA MKUUU SISI TUNABAKI TUKICHORA TUWanalambishana Sukari.
yaani wewe acha tu mambo magumu ila itabidi tumwombe Mungu atunusuru na hili jangaWenye nchi ndio wanaruhusiwa kutafuna nchi.Sisi wananchi kazi yetu ni kutengeneza chakula Cha wenye nchi
Kwelii Hali imekuwa ngumu mpaka dada yangu na wewe umeliona hilo
2025 watakuja Tena kuomba kuendelea kula huku wakiwapoza na pilau, khanga ,btshet na kofia. Baada ya hapo sahau maana 2030 CCM itashindwa vibaya Sana kwenye uchaguzi.Sasa hapo ndipo tofauti Kati ya "wenye nchi" na "wananchi" inapokuwa dhahiri.
Kazi za watoto wa maskini zote hazina maslahi kabisa.Habari wadau,
Hizi zama zimebadilika sana, huwezi kuona mtu wa hali ya chini akawa afisa maendeleo kata, ama huwezi kukuta mtu akimegewa mkate ulionona ilihali na yeye amezama akabukua na kutoa matirio mazuri ila sasa kwenye mgawanyo hukosa hata soko lake.
Je, kuna ulinganifu hapo jamani ndo maana nasema nyakati hizi zimebadilika tofauti na zile za nyuma ambazo mbweha naye aliweza kula sahani moja na simba. Sasa nini kimelipata jiji hili letu ambalo wengi wanalipenda mno.
Mimi nadhani turudi zama za kale ambazo wote tuliweza kuumega mkate na kushiriki pamoja, tukawa tukidumu kwenye upendo na kupeana bila kuangalia huyu ni nani na yule ni nani?
Kama jua limewaka liwake kotekote sio mahali pakavu hata pale pabichi pia. Aksanteni.
Wasalaam
LADYF
NIMERUDI KIVINGINE WADAU
yaani wewe acha tuKazi za watoto wa maskini zote hazina maslahi kabisa.
Ndio maana wao na watoto wao huwezi kuwakuta huko.
Mf: UALIMU, MAGEREZA NA POLISI.
sanasana khanga nna matisheti tunasahau yote2025 watakuja Tena kuomba kuendelea kula huku wakiwapoza na pilau, khanga ,btshet na kofia. Baada ya hapo sahau maana 2030 CCM itashindwa vibaya Sana kwenye uchaguzi.
Ukimsikiliza Wasira, Neppy na kipara utajua tu kwamba Kuna kitu.
tunaoumia ni sisi wa chini yaani ila Mungu anawezaBiashara zimekuwa ngumu, wafanyakazi wa chini ambao ndiyo huleta Hela mtaani nawo wamechoka na gharama za maisha,
Kila kitu kipo bei juu ila mishahara Yao ipo pale pale,
Ni kilio Cha kimya kimya huku wengine wakinunuliwa magari mapya tena ya bei kubwa na isitoshe wana nyumba za bure zenye full fenenicha!
Ulipotea sana sijui kwann hata kule kilingeni sijui kama bado kupo. Ajira zimekua za kimichongo sana kwa vile ni chachetunaoumia ni sisi wa chini yaani ila Mungu anaweza
hahahaaaaaa maisha best yamenifanya niwe mbali ikidogo ila nimerudi sasaUlipotea sana sijui kwann hata kule kilingeni sijui kama bado kupo. Ajira zimekua za kimichongo sana kwa vile ni chache