Wanapata wapi ujasiri wa kutuomba Hela?

😡😡😡
 
Inategemea wanawake unaokutana nao au labda we nyota yako ni ya makurumbembe/machakaramu!!!!! wenzio wanaona raaaha kuhonga ata ujaomba unastukia muamala hahahah
 
don't speak about imaginations, we are speaking about reality here, nyie kuacha kutongoza haiwezekan, that's nature and it will always be, labda ukaishi Jupiter
 
Tunakosea tangu mwanzo sisi wenyewe,mara nyingi tunaenda na pozi za pesa nae atakupeleka pozi za pesa,au una force usipopendwa lazima uchunwe, wakati mwingine wanafanya makusudi ili ukimbie mtu anajitutumua someni alama za nyakati awata wapa shida,WE MWANAMKE ANAJUA KABISA UNATOKA NA RAFIKI YAKE UNA MUOMBA NA YEYE,KWANN ASIKUCHUNE? ANAJUA APA UYU NI TAMAA TU ZIMEMLETA TUNAYATAKA WENYEWE
 
K kwa M si vinginevyo! Yabaki kuwa mapenzi siyo kileteana ujambazi
 

Ulishawahi kununiwa?
 
Yani mkitugawia pesa sisi ni kosa. ..tukiomba nje mnasema dharau ...mbona nyie hambebekiiii
 
Wanaume mnashangaza
Unataka mwanamke mrembo hujui ni gharama? Mwanamke unamuita mkutane hujui hata nauli anagharamia?
Msiwape mtihani mabinti unakuta anakupenda ila mchoyo inabidi atafute mwingine wa kumpa vinauli kwa ajili yako halafu hapo mseme wanawake wanawapanga. Mtawapoteza wanaowapenda kweli kwa ujinga wenu mnaojazana.
 
Ulishawahi kununiwa?
Mimi tunabadirisha K kwa M na sivinginevyo, maana bado mwenzako Nina shughuli ya kukufanya..! Pesa nitakupa kwanza km ninayo na pili siyo kwa kukulipa bali uwe na shida na ujue ipo siku nami nitakuomba pesa.
 
Ila kusema kweli mwanaume asietoa hela hata penzi linachacha. Kwanza hawezi kuwa na akili nzuri anaweza hata kumuuza mkewe ili tu asitoe hela yake.
 
Wew Huwez kumtumia mwenzio bila kumtunza, we vipi vya mwenzio unataka vyako hutaki kutoa una akili, kaa na hela zako na nyege zako simple and clear
Hivi nyie huwa mnaumwa eti
eti nyege zangu nyie hamna nyege?? Na yupi anamtumia mwenziwe nyiemnatega tu K kudume natokwa jasho afu badae eti nikulipe mimi M yangu inayokukojoza unailipa nini?? Pesa utapewa kwa kupenda na km nitakuwa nayo na siyo malipo maana ata Mimi siku sina nitakuomba.
 

Bwana wee. . .. . Sio lazima.
Kama hutaki unaacha tu au uza hisa kama Voda com.
 
Bwana wee. . .. . Sio lazima.
Kama hutaki unaacha tu au uza hisa kama Voda com.
Hivi nikitaka free P nakosea wapi??? Binafsi huwa nikiwa na nyege natega mitego km minne hivi kama siyo yote minne basi mitatu itanasa, afu nachagua mwnyw hutaki nenda zako.

Bahati nzuri sijawahi kumla demu asiombe turudie mchezo labda nikatae mwenyewe.

Ndiyo maana huwa mnamegwa na kutupwa kero za kuombwa pesa! Hamna wazazi au km wakubwa fanya kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…