Bro, unaonekana unahasira saana na huu ujumbe. Vipi kulikoni!Mtoto ulimleavyo ndivyo akuavyo....
From day wani...... Unatakiwa ukaze ukicheka Cheka hao viumbe watakupanda kichwani.
Unahakikisha hutoi nafasi ya kuombwa hela
Hii ndio hatua ya mwanzo kabisa ya kufanikiwaMtoto ulimleavyo ndivyo akuavyo....
From day wani...... Unatakiwa ukaze ukicheka Cheka hao viumbe watakupanda kichwani.
Unahakikisha hutoi nafasi ya kuombwa hela
Siku hizi tumekuwa kama wanaume wenzao wanafanya wanachotaka yaani hawatuogopi kabisa,heshima hakuna tunaishi kama kambare! Utampa huduma zote kula,kulala atavaa vizuri lakini bado kuna siku atakuita mpumbavu na mitusi kibao ukiwa mzembe anakupa za uso! Tumerogwa na nani sisi wanaume wa kizazi hiki....Tusaidiane jamani,mi mwenyewe nishachoka kuhonga ila nashindwa kuacha!
Kwani bilionea hafulii?Hii ndio hatua ya mwanzo kabisa ya kufanikiwa
Hawa wanaopenda kuongwa huwa wanaangalia 'upepo' kuanzia mwanzo
Ukija kibillionaire itabidi pesa zikutoke tu maana hamna namna
Kwa assumptions za muhongwaji billionaire huwa afuliiKwani bilionea hafulii?
Hizo assumptions za kipuuzi au sijui niziite za kitoto ndo hatuzitaki, unaambiwa leo sina ni suala la kuelewa tu mbona mwanzo au jana alikupa? utakuta mtu ukimwambia sina basi atanuna huyo kama katokea na mzimu wa babu yake alikufa miaka 20 iliyopita huko. Tena kwa life la sasa wajiangalie kisawa sawa wasijekosa vyoteKwa assumptions za muhongwaji billionaire huwa afulii
Hizo assumptions za kipuuzi au sijui niziite za kitoto ndo hatuzitaki, unaambiwa leo sina ni suala la kuelewa tu mbona mwanzo au jana alikupa? utakuta mtu ukimwambia sina basi atanuna huyo kama katokea na mzimu wa babu yake alikufa miaka 20 iliyopita huko. Tena kwa life la sasa wajiangalie kisawa sawa wasijekosa vyote
polee
Umechoka kuhonga au kuhongwa, au sijaona vizr jina la Jovithami mwenyewe nimechoka kuhonga ila ninashidwa kuachaa!!!??
Maisha kusaidiana jamaniSiku hizi tumekuwa kama wanaume wenzao wanafanya wanachotaka yaani hawatuogopi kabisa,heshima hakuna tunaishi kama kambare! Utampa huduma zote kula,kulala atavaa vizuri lakini bado kuna siku atakuita mpumbavu na mitusi kibao ukiwa mzembe anakupa za uso! Tumerogwa na nani sisi wanaume wa kizazi hiki....Tusaidiane jamani,mi mwenyewe nishachoka kuhonga ila nashindwa kuacha!
Kabisa!!! Samaki mkunje angali mbichi!!! Kama ashamzoesha kumpa tokea mwanzo akiacha sasa ivi ataonekana kama anachepuka au hampendi tenaMtoto ulimleavyo ndivyo akuavyo....
From day wani...... Unatakiwa ukaze ukicheka Cheka hao viumbe watakupanda kichwani.
Unahakikisha hutoi nafasi ya kuombwa hela