deo lekule
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 258
- 150
Sure!!Ukiwakamata uwapeleke mahakamani. Si polisi kama mnavyofanya. Wapeleke mahakamani ili mkajieleze wote.wewe mlalamikaji na yeye mshitakiwa. Hata hivyo ni ajabu kudhani kuwa kwenye msiba watu wote watalia! Wapo watakaofurahia kufa kwako, watakaosikikitika, na ambao wapo wapo kujaza msiba. Na huwezi kuwalazimisha watu kusikitika. Hilo ni suala la hisia za moyo. Na nakuhakikishia utaishia kuwatesa tu kwenye vituo vya polisi. Hawashitakiki.
Mkuu kweli kabisa huu ni utoto wa kiwango cha juu kabisa. Huwezi kulazimisha mtu ampende asiyempenda. Mwigulu acha mawazo ya kitoto. Jiulize ni wapi kama serikali mumekosea. Kwanini hujiulizi why watu washangilie kuuwawa kwa polisi? Kuna organs ngapi za vyombo vya ulinzi na usalama? Mbona hizo organs nyingine hazichukiwi? Mbona Magereza au askari wa JWTZ akifariki kwa namna yoyote watanzania huonyesha sympathy? Why only police? Jiulize maswali hayo utapata jibu ni wapi mumekosea. Dunia ya leo haihitaji kutisha watu. Mimi ni mtu huru siyo mtumwa. Ni na uhuru wa kuchagua kwa utashi wangu nimpende nani na nimchukie nani? hayo maigizo mnayowafanya ujue unazidi kuwaweka askari polisi kwenye hali ngumu. Tatufute wapi mumekosea kabla mambo hayaja haribika sana ili mchukuwe hatua za kurekebisha kuliko kutisha watu wanaotoa maoni yao mitandaoni.Hii serekali inawafanya wananchi wanalichukia jeshi la polisi, hii inawaweka polisi kwenye hali ngumu sana wakati wa utekelezaji wa majukumu yao! Mwigulu hajiulizi kwamba ukishawahoji ndio wananchi wataanza kulipenda na kuliheshimu jeshi la polisi?
Huwezi mlazimishi binadamu kupenda kitu nje ya utashi wake viongozi waache utoto!
Dawa ya jeshi la police kurudisha heshima yake na kupata uungwaji mkono na wananchi ni kuhakikisha jeshi la polisi halitumiki kisiasa hata kidogo!
Yaani jeshi ambalo lilitakiwa kufanya kazi zake kwa majibu wa sheria na taratibu zilizolianzisha leo linatumikia chama kimoja unadhani wanachama Wa vyama vingine ni vipofu au ni wajinga hawawezi kuona?
Ngoja tuanze kuvuna tulichopanda!
NADHANI YUKO MBIONI KUNUNUA KIFAA MAALUMU CHA KUMCHUNGUZA MWANADAMU ANAYECHUKIA POLISI KUUWAWA HONGERA SERIKALI YA MWENDO KASIHayo ni maneno ya Waziri wa Mambo ya Ndani mh. Mwigulu Nchemba kuwa kwa wale wote watakaoonesha kufurahia jambo hili wataitwa kwenye vyombo vya sheria kujieleza.
My take: Kabla ya kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria kujieleza kwanini serikali isijiulize kwanini imefikia hatua mpaka polisi kuuawa wananchi wanashangilia?
Hii serekali inawafanya wananchi wanalichukia jeshi la polisi, hii inawaweka polisi kwenye hali ngumu sana wakati wa utekelezaji wa majukumu yao! Mwigulu hajiulizi kwamba ukishawahoji ndio wananchi wataanza kulipenda na kuliheshimu jeshi la polisi?
Huwezi mlazimishi binadamu kupenda kitu nje ya utashi wake viongozi waache utoto!
Dawa ya jeshi la police kurudisha heshima yake na kupata uungwaji mkono na wananchi ni kuhakikisha jeshi la polisi halitumiki kisiasa hata kidogo!
Yaani jeshi ambalo lilitakiwa kufanya kazi zake kwa majibu wa sheria na taratibu zilizolianzisha leo linatumikia chama kimoja unadhani wanachama Wa vyama vingine ni vipofu au ni wajinga hawawezi kuona?
Ngoja tuanze kuvuna tulichopanda!
Wanataka maendeleo yanayoletwa kwa misingi ya kuheshimu na kutekeleza matakwa ya katiba na sheria za nchi nje ya hapo ni matatizo makubwa.CHADEMA wameungana na Mafisadi kupigania maandamano badala ya kupigania maendeleo .!!!
Aliyewaambia watanzania wanahitaji maandamano na siyo maendeleo ni nani?
Shame to you all
Daah! Mkuu nimecheka mchana huu nahivi sijauona vizuri inabidi niwahi Kwa mamantilie anijazie ukoko wangu[emoji23] [emoji23] !! Kwamba nimwendo wakusifu tuu!? Hiyo ndo tabia original ya mwafrica ndg yangu. Hata akiwa uchi wamnyama ukimwambia Mzee nyeti zako ziko nje unalo hilo. Anataka umwambie 'Daah! Mzee hii suti umeagiza kulekule kwa Mzee Obama nini?! Imekutoa sanaaa' hapo utakula vinono vyoote vya kifalume.Kiongozi mkuu wa nchi ndie mwenye kutoa taswira ya nchi, kama anapenda kusifiwa basi utaona hata taasisi zote zitahitaji kusifiwa, nimeona bandari walikanusha kuwa hakuna upungufu wa mizigo, maana yake wananchi waseme tu kumejaa, wakaja crdb, sasa polisi. Ni sifa tu vyovyote itakavokua.
Duuuuuh, kazi IPOJESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga kukabiliana na uhalifu mkubwa ukiwemo ujambazi, anaandika Pendo Omary.
Askari wanne waliuawa katika tukio la ujambazi lililotokea usiku wa jana, eneo la Mbande, Mbagala jijini Dar es Salaam na kuibua maoni tofauti ya wananchi katika kipindi hiki ambacho polisi wamekuwa wakijitokeza mitaani na kufanya maonyesho kwa madai ya kujiweka tayari kuwakabili wahalifu.
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi hapa nchini amewambia wanahabari hii leo kuwa, jeshi hilo halitavumilia ‘ushabikiaji’ wahalifu unaofanywa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii huku wakilibeza jeshi la polisi.
CP Marijani aliwaita wanahabari ili kuzungumzia mazingira ya tukio la kutokea kwa mauaji ya askari wa jeshi hilo siku ya jana, ambapo amesema, kitendo kilichotokea jana sit u ni uhalifu bali ni “tangazo la vita dhidi ya Polisi”.
“Wahalifu walifanikiwa kupora bunduki zetu mbili aina ya SMG na risasi 60 na hawakuchukua pesa wala kuharibu mali yoyote ya benki hiyo. Maana yake wahalifu hao walilenga kuwashambulia askari polisi wetu,” amesema na kusisitiza;
“Inashangaza kuona baadhi ya watu wanashabikia uhalifu kutokea kupitia mitandao ya kijamii na natoa onyo kali kwao, waache kuhamasisha uhalifu maana tunawasaka, tutawakamata na kuwahoji ili sheria ichukue mkondo wake.”
Jeshi hilo limesema, tayari limewakamata baadhi ya watu wakihusishwa na mauaji hayo.
======
Binadamu wengine ni waajabu wakipewa dhamana ya kuongoza wanadhani watakuwa madarakani milele pia hawa walimu wanadhani kila mtu ni mwanafunzi wake wanatufanyia majaribio hatutokubali (They like treating every body like a student)Mkuu kweli kabisa huu ni utoto wa kiwango cha juu kabisa. Huwezi kulazimisha mtu ampende asiyempenda. Mwigulu acha mawazo ya kitoto. Jiulize ni wapi kama serikali mumekosea. Kwanini hujiulizi why watu washangilie kuuwawa kwa polisi? Kuna organs ngapi za vyombo vya ulinzi na usalama? Mbona hizo organs nyingine hazichukiwi? Mbona Magereza au askari wa JWTZ akifariki kwa namna yoyote watanzania huonyesha sympathy? Why only police? Jiulize maswali hayo utapata jibu ni wapi mumekosea. Dunia ya leo haihitaji kutisha watu. Mimi ni mtu huru siyo mtumwa. Ni na uhuru wa kuchagua kwa utashi wangu nimpende nani na nimchukie nani? hayo maigizo mnayowafanya ujue unazidi kuwaweka askari polisi kwenye hali ngumu. Tatufute wapi mumekosea kabla mambo hayaja haribika sana ili mchukuwe hatua za kurekebisha kuliko kutisha watu wanaotoa maoni yao mitandaoni.
Excellent mkuuMkuu kweli kabisa huu ni utoto wa kiwango cha juu kabisa. Huwezi kulazimisha mtu ampende asiyempenda. Mwigulu acha mawazo ya kitoto. Jiulize ni wapi kama serikali mumekosea. Kwanini hujiulizi why watu washangilie kuuwawa kwa polisi? Kuna organs ngapi za vyombo vya ulinzi na usalama? Mbona hizo organs nyingine hazichukiwi? Mbona Magereza au askari wa JWTZ akifariki kwa namna yoyote watanzania huonyesha sympathy? Why only police? Jiulize maswali hayo utapata jibu ni wapi mumekosea. Dunia ya leo haihitaji kutisha watu. Mimi ni mtu huru siyo mtumwa. Ni na uhuru wa kuchagua kwa utashi wangu nimpende nani na nimchukie nani? hayo maigizo mnayowafanya ujue unazidi kuwaweka askari polisi kwenye hali ngumu. Tatufute wapi mumekosea kabla mambo hayaja haribika sana ili mchukuwe hatua za kurekebisha kuliko kutisha watu wanaotoa maoni yao mitandaoni.
Kuna mtu aliuliza swali,je wale waliocheka kimoyomoyo nao watakamatwa?nikabak kucheka tuJESHI la Polisi limefura. Ni kufuatia watu mbalimbali kulibeza mitandaoni kwa madai kuwa, limejikita katika matamko na mazoezi ya kukabili maandamano ya vyama vya siasa vya upinzani, kuliko kujipanga kukabiliana na uhalifu mkubwa ukiwemo ujambazi, anaandika Pendo Omary.
Askari wanne waliuawa katika tukio la ujambazi lililotokea usiku wa jana, eneo la Mbande, Mbagala jijini Dar es Salaam na kuibua maoni tofauti ya wananchi katika kipindi hiki ambacho polisi wamekuwa wakijitokeza mitaani na kufanya maonyesho kwa madai ya kujiweka tayari kuwakabili wahalifu.
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi hapa nchini amewambia wanahabari hii leo kuwa, jeshi hilo halitavumilia ‘ushabikiaji’ wahalifu unaofanywa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii huku wakilibeza jeshi la polisi.
CP Marijani aliwaita wanahabari ili kuzungumzia mazingira ya tukio la kutokea kwa mauaji ya askari wa jeshi hilo siku ya jana, ambapo amesema, kitendo kilichotokea jana sit u ni uhalifu bali ni “tangazo la vita dhidi ya Polisi”.
“Wahalifu walifanikiwa kupora bunduki zetu mbili aina ya SMG na risasi 60 na hawakuchukua pesa wala kuharibu mali yoyote ya benki hiyo. Maana yake wahalifu hao walilenga kuwashambulia askari polisi wetu,” amesema na kusisitiza;
“Inashangaza kuona baadhi ya watu wanashabikia uhalifu kutokea kupitia mitandao ya kijamii na natoa onyo kali kwao, waache kuhamasisha uhalifu maana tunawasaka, tutawakamata na kuwahoji ili sheria ichukue mkondo wake.”
Jeshi hilo limesema, tayari limewakamata baadhi ya watu wakihusishwa na mauaji hayo.
======
aminaWajiulize wamekosea wapi... Hakuna anyependa police wetu apigwe na kuuawa. Inapotekea amepigwa alafu watu wakashabikia aliye piga police waje na majibu wamewakosea nini watanzania.