Waislamu wakiona hawa wanawake ndo wanajisemea ndo wale Bikra 72 walizoahidiwa peponi huko 😂
Nani kasema? Fanya utafiti vyema.Kweli kabisa kama ilivyo upande wa pili wanasema ikiwa hulipi kodi ya jumuiya ndogondogo, kodi ya kanisa au ukiwa huhudhurii huko basi ukifa hawakuziki.
Lakini sasa ukiwa tajiri hata kama hufanyi lolote kati ya hayo, ukifa wanajipendekeza kukufanyia ibada kadri familia itakavyotaka 😄😄
Hizi dini tulipigwa nawaambia
Trump atavuaje viatu wakati ni bosi na mshitiri wa wenye misikiti yote duniani? Waarabu wanaujua na kuutimiza Uislam wakiongozwa na Trump. Angekuwa kengeee toka kwetu, angevua hata suti na kuvishwa kanzu. Bravo chizi wangu Trump.Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.
Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
View attachment 3334936
Nifanye utafiti upi wakati mimi ni mrombo na nimeshuhudia? Akifa mtu mwenye hela familia wanapeleka hela padri anakuja fasta tena ataendesha mazishi kama vile naye ni sehemu ya familiaNani kasema? Fanya utafiti vyema.
Kuonesha utii,heshima na usafi wa mwili.Kwani sababu ya kuvua viatu huwa ni Nini?