Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

Ndio mtaji wa pastor mackenzi na makanisa yao ya mwendo kasi
 
Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA!

Atajaribu kukutega usipoingia kwenye kamba zake anakuona ZOBA!

hiyo kitu inanitokeaga sana unakuta ankuonyesha ishara umtokee lakini ukimpotezea anaanza kukudharau
 
hayana formula, tutafute hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…