Wanaoteseka zaidi katika mapenzi ni wanawake

Thread 10 za malalamiko ya mapenzi 9 zimeletwa na mwanaume 1 mwanamke....rekodi hazidanganyi.
🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekumbuka ule uzi wa kutoa neno kwa ex wako, wanawake tulitukanwa matusi yote. Leo hii eti hawateswi na mapenzi🙆🙆

Sema wanawake hatufichi hisia zetu na hatuna unafiki, kama nilitendwa nasema tu. Ila wao sasa kujitia vidume ila ikitokea pa kutolea machungu yao sasaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…