Hata intaneti kuna wakati ilikuwa nafuu, sasa hivi haishikiki...Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..
Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea
Najiuliza why app hizi bado ghali sana?
Toa pesa nzuri upate kitu kizuri, mbona wabongo mnapenda sana mitelemkoBut hizi apps hazijawahi kuwa bei poa
Sijakuelewa...
Naona viji app ni vingi kuliko tovuti, hasa hapa Bongo... Nikahisi labda ni rahisi sana.But hizi apps hazijawahi kuwa bei poa
Website zimekuwa rahisi kwa sababu language yake ni rahisi na kuna templates nyingi sana na platforms (like wordpress) ambazo ni free. Apps ni gharama kwa sababu language ya kutengenezea (java) siyo ya mchezo mchezo kama php na html za website. Platforms za apps bado hazijafika hatua nzuri ya kurahsisha kazi kama za websites.Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..
Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea
Najiuliza why app hizi bado ghali sana?
Website zimekuwa rahisi kwa sababu language yake ni rahisi na kuna templates nyingi sana na platforms (like wordpress) ambazo ni free. Apps ni gharama kwa sababu language ya kutengenezea (java) siyo ya mchezo mchezo kama php na html za website. Platforms za apps bado hazijafika hatua nzuri ya kurahsisha kazi kama
za websites.
Kwahyo mwsho wa siku utaona apps zinatumia muda mrefu kudevelop kuliko website, na developer anayethamini kazi na uwezo wake huwa anacharge kwa siku ambazo anaona ataweza tumia kumaliza kazi yake. Ndo maana tunacharge pesa ndefu kwenye apps
Kaa mwenyewe. Research soko la app, upate mwanga kisha ndio usake mtengenezaji... Ma-IT wa Bongo sio makini kivile!Na mimi nilihisi hivyo
kuuliza natajiwa price mara kumi ya website
Bajeti yako kiasi gani?Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..
Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea
Najiuliza why app hizi bado ghali sana?
Kwa ufupi, app itakayonichukua mwezi mmoja nacharge TZS 1.5m. Kusema app simple tu haitoshi, inabidi uspecify inafanya kazi gani, kwahyo kama uki-specify na nkaona inafanyika ndani ya siku moja, basi hapo lazma ntakutoa TZS 100k , ndo kima changu cha chini kabisa check my app iliyo live play store hapa: Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play zingne nyingi hazipo liveKwa apps simple tu isiyo na video wala picha
una chaji kiasi gani? kadirio la chini