Wanaotengeneza apps bei poa..mpo wapi?

Wanaotengeneza apps bei poa..mpo wapi?

Mtu anatengeneza app bure iwapo inamlipa yeye tu na si kutumia mda wake kumtengenezea mtu app bure
Kwanini watu huwa wanafanya kazi za kujitolea? Mfano: umemaliza degree yako na upo unasaka kazi. Mwaka wa kwanza unapita, wa pili unapita, wa tatu unapita na bado uko nyumbani hujapata kazi. Ikitokea nafasi ya kufanya kazi inayoendana na profession yako utaikataa kwa sababu ni ya bure?

Watu wanatengeneza sophisticated games na kuzitoa bure itakuwa ki-app cha mtu ambacho hakina ugumu wowote kutengeneza? Ni mentality tu.
 
Hehehe ati "ki~app ambacho hakina ugumu kutengeneza". We hujui kutengeneza app umejuaje kua haina ugumu wowote? Sio kila unachokiona simple ni simple kweli, mara nyingine simplest things ndiyo the hardest kufanya kwa kutumia computer, we huoni super computers zina predict vitu complex kama weather, location in realtime, kurusha ndege, rockets e.t.c lakini bado computer inashindwa kutambua object kama paka, binadamu with high accuracy kitu ambacho sisi tunakifanya in milliseconds.

Alafu wanaotengeneza games wanatoa bure most of the times wanakua na plan, wengi wanatoa bure ila wanakua wameweka matangazo au in~app purchases au hata different business models ambazo zinawatengenezea pesa, na hizo games wanatengeneza wenyewe kama their source of income au hata as a hobby ila sio for someone else. Kutengeneza kwa ajili ya mtu mwingine ni kitu tofauti, wewe uko tayari kumfanyia kazi mtu mwingine bure? Yeye anaenda kutengeneza pesa kwa product uliyokaa mwezi au zaidi kuitengeneza alafu unakaa unamchekea? Heheheh hii ideology ni ya masikini kua makini sana, roho nzuri ikipitiliza unaweza kufa na njaa.

Na ukiona hujapata kazi miaka mitatu baada ya kumaliza kusoma jua tatizo ni la kwako, yaweza kua hauna skills kabisa bora utafute profession nyingine ufanye, its stupid staying for even a year bila kazi. Na huo muda kwa mtu mwenye knowledge unamtosha kabisa kujiingiza kwenye field flani na kuimaster then akatafuta kazi au kujiajiri. Hizi kazi za burebure hizi fanyeni wenyewe, undugu kwenye pesa wengine tunaona ni ujinga. Either you pay for my time or go away and find your friend akusaidie. The only reason ya kufanya bure ni kama mtu ana a very brilliant idea ambayo ina high chance of working out, alafu tunagawana 50% au I get more, na awe na skill flani especially marketting. Ila kuja na idea tu na kukaa hafanyi chochote ntaishia kumpa 1%.

Heshimu kazi za watu
 
hujui unachokiongea, acha dharau.
 
Mrisho Ngassa anamwambia Lionel Messi aheshimu kazi za watu!? Kweli kujificha nyuma ya keyboard kuna raha.
 
Asante kwa maelezo yako mkuu, nadhani atakuwa keshakuelewa
 
Kwanini watu huwa wanafanya kazi za kujitolea? Mfano: umemaliza degree yako na upo unasaka kazi. Mwaka wa kwanza unapita, wa pili unapita, wa tatu unapita na bado uko nyumbani hujapata kazi. Ikitokea nafasi ya kufanya kazi inayoendana na profession yako utaikataa kwa sababu ni ya bure?

Watu wanatengeneza sophisticated games na kuzitoa bure itakuwa ki-app cha mtu ambacho hakina ugumu wowote kutengeneza? Ni mentality tu.
Mkuu hivi unajua kucode hebu kwanza tuanzie hapo?, kama unajua kucode nataka nikuletee requirements za ki-app kimoja unisaidie kukitengeneza bure tu kama hutajali
 
umeichukulia easy sana eti ki-app
 
Mrisho Ngassa anamwambia Lionel Messi aheshimu kazi za watu!? Kweli kujificha nyuma ya keyboard kuna raha.
Serikali inahitaji Centralized Portal. Please jitolee kuitengeneza utatusaidia sana kupunguza usumbufu, especially kama kila kitu kikiwa kwenye simu.

Natanguliza shukrani!
 
Mkuu hivi unajua kucode hebu kwanza tuanzie hapo?, kama unajua kucode nataka nikuletee requirements za ki-app kimoja unisaidie kukitengeneza bure tu kama hutajali
Tatizo lako ukiona picha ya demu kwenye profile unadhani ni mama ntilie.
 
Hehehe, mkuu hiyo ni ajira ya mtu, app moja inaweza chukua muda mrefu sana, hadi miezi kadhaa, unataka mtu akufanyie bei gani? laki moja mbili?
Wanaotengeneza website kama blog ile sio complex skill wanatumia templates tu kitendo cha kubadilisha data, au wordpress na yenyewe vilevile tu. Ukitaka custom website na complex features hakuna mtu nayemjua wa kufanya chini ya Tshs.2Million.

Apps in most cases lazima uanze from scratch, kuandika code sio kitu rahisi kama watu wengi wanavyofikiria, hauendi tu na kuiambia computer app iko hivi na yenyewe ikafanya, kuna mambo mengi sana ya kujifunza, ni skill ambayo imetuchukua wengine miaka kuimaster.

App ya bei chini kabisa nilowahi fanya ni 500K na hiyo ilinichukua kama masaa manne kuikamilisha. Ila kawaida siendi chini ya 2M kwa simple apps na 10M+ kwa complex applications, miaka niliyopoteza kusoma inabidi ijilipe, mwisho wa siku app itakutengenezea wewe mamilioni kwa nini niifanye kwa laki moja mbili au less? hehehe! Wapo lakini developer uchwara wanaweza kukufanyia hata kwa 50K lakini jiandae kupata quality sawa na bei hiyo.

Em angalia hii picha ujifunze kitu
View attachment 517300
Sure! Watu wakiona unabofya vitu vinafunguka wanandhani ni kazi rahisi, inachukua muda mrefu kutengeneza many sleepless nights so usitegemee hela iwe ndogo angalia apps zangu live Google play kama una mzigo wa maana nicheck Robert Londo – Applications Android sur Google Play
 
Tofautsha kat ya Quantity na Quality...huyo anaetengeneza app bure huyo
 
Tatizo lako ukiona picha ya demu kwenye profile unadhani ni mama ntilie.
Sijaangalia avatar mkuu, kuna ki-app ya android naomba nikupe requirements unitengenezee bure kama hutajali mkuu
 
Nimemuambia mhusika kwa sasa sina muda. Am booked mpaka December. Ikifika Decemba nitaanza kugawa bure maarifa adhimu ambayo Munga amenijalia. Ila ushauri wangu usipotezee, kuna watu nawafahamu wamemfanyia client kazi za IT zenye thamani ya 150mil bure, tena sio kwamba client hana pesa-ana mapesa. Ila watu walitaka tu kupata connections na kujenga CV, wanajua client huyo ana kazi zingine kubwa zaidi zinakuja.

Sasa kama kampuni inafanyiwa kazi bure yenye thamani ya 150mil, wewe unashindwa vp kumsaidia individual, tena sio bure-bali gharama nafuu?
 
Basi msaidie huyu mda kwenye thread utakuwa umefanya kitu cha maana
 
bei poa sababu hatupigi kodi ni mwendo wa Template tu mfano wordpress templatea ni dollar 16 hadi 100 ambazo ni kuanzia 40000 hadi laki unapata templates nzuri sana ila zamani watu walipiga kodi
 
7d42146545e7fc21abce612c7c3b5640.jpg

Ongeza muda wa maongezi kwa ku 'scan' vocha. Inapatikana Google play store Vocha Master – Applications Android sur Google Play
 
Website unaweza fanyiwa bure cause mtu anaweza chukua template tu na akahost. Native Android app hakunaga tenplate anza from scratch mpaka inakua kamili.
Inahitaji skills na inaweza chukua hata miezi 6 au mwaka kumaliza app moja ndo maana ni gharama
 
Back
Top Bottom