Wanaotengeneza apps bei poa..mpo wapi?

Wanaotengeneza apps bei poa..mpo wapi?

From 300,000 depending on idea wacheki hawa instagram @fundirabbit_dev_lab
 
Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..

Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea

Najiuliza why app hizi bado ghali sana?
Kama unaona bei ya apps ni ghali kajaribu kusoma IT hapa bongo uone kama utaweza kudesign hata ki-website uchwara kirahisi rahisi tuu
 
Kuntengeneza App kunahitaji skill kubwa zaidi kuliko website hivyo ina thamani zaidi.
 
Hehehe, mkuu hiyo ni ajira ya mtu, app moja inaweza chukua muda mrefu sana, hadi miezi kadhaa, unataka mtu akufanyie bei gani? laki moja mbili?
Wanaotengeneza website kama blog ile sio complex skill wanatumia templates tu kitendo cha kubadilisha data, au wordpress na yenyewe vilevile tu. Ukitaka custom website na complex features hakuna mtu nayemjua wa kufanya chini ya Tshs.2Million.

Apps in most cases lazima uanze from scratch, kuandika code sio kitu rahisi kama watu wengi wanavyofikiria, hauendi tu na kuiambia computer app iko hivi na yenyewe ikafanya, kuna mambo mengi sana ya kujifunza, ni skill ambayo imetuchukua wengine miaka kuimaster.

App ya bei chini kabisa nilowahi fanya ni 500K na hiyo ilinichukua kama masaa manne kuikamilisha. Ila kawaida siendi chini ya 2M kwa simple apps na 10M+ kwa complex applications, miaka niliyopoteza kusoma inabidi ijilipe, mwisho wa siku app itakutengenezea wewe mamilioni kwa nini niifanye kwa laki moja mbili au less? hehehe! Wapo lakini developer uchwara wanaweza kukufanyia hata kwa 50K lakini jiandae kupata quality sawa na bei hiyo.

Em angalia hii picha ujifunze kitu
12510289_10153204344087046_32618631641124846_n.jpg
 
App ya bei chini kabisa nilowahi fanya ni 500K na hiyo ilinichukua siku moja kuikamilisha. Ila kawaida siendi chini ya 2M kwa simple apps na 10M+ kwa complex applications, miaka niliyopoteza kusoma inabidi ijilipe, mwisho wa siku app itakutengenezea wewe mamilioni kwa nini niifanye kwa laki moja mbili au less? hehehe! Wapo lakini developer uchwara wanaweza kukufanyia hata kwa 50K lakini jiandae kupata quality sawa na bei hiyo.
Umemuelezea fresh sana, ndo nilchokuwa najaribu kumwambia. Safi sana bro! Me kuna mtu nimekataa kuntengenezea app yake kisa ana 1m wakat kaz yake inachukua more than a month na ilkuwa ya 2.5m
 
The Boss naweza hiyo Kazi kwa gharama nafuu kabisa nitafute.

Niliwahi kuuliza developers fulani wa app moja pendwa Tz ila haina viwango gharama zao nilishtuka walisema $7000, huu ni wizi wa mchana kweupe.
 
Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..

Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea

Najiuliza why app hizi bado ghali sana?

Nifate pm tuelewane. Ntakufanyia cheaply
 
Na mimi nilihisi hivyo
kuuliza natajiwa price mara kumi ya website
Sijui ulikuwa unataka app ya aina gani na toka kwa nani, lakini nitajaribu kukupa mwanga kuwa si app zote zinafanana na hakuna bei moja. Urahisi au u ghali wake unategemeana na mambo mengi sana. Haya ni baadi tu:

1. Chanzo cha Data

Kuna apps ambazo zinategemea chanzo cha data ambacho kipo. mfano unatengeneza App ya ku organize video zako za Youtube au Tweets zako. Tayari Twitter wamekutengenezea sehemu ya kuvuta data hivyo hakuna gharama kubwa kwenye eneo hili. Kama app yako ina chanzo chake "dedicated" basi gharama ya kuandika chanzo (kusanifu database, kuandika set ya API calls kwa ajaili ya kuvuta data, kuhakikisha usalama wa mfumo mzima) yanakuwa mikononi mwa msimba. Kwa hiyo gharama itaongezeka.

2. Uwezo wa Msimba (developer)
Uwezo wa msimba kuandika vitu vya kuvutia na vyenye usalama huongeza gharama. Mfano, unataka app ambayo itahusika na data sensitive kama za wagonjwa. Lazima hapo utafute mtu ambaye si anaandika tu na ku google misimba ya watu na kuiunga, yaani kama kaburi, nje zuri ndani mifupa tu. Sasa akiwa na uwezo mzuri wa kusanifu na kuandika simba imara kama simba basi gharama inaongezeka.

3. Kuunganisha na Mifumo Mingine
Hii ni kama unataka kwa mfano kutumia MPESA/TigoPesa et al. Hizi ni mifumo ya watu na ina viwango vya usalama ambavyo lazima waipitie mifumo yako kuhakikisha inaendana na usalama wanaoutaka. Sasa kwa mtu kuiunganisha na mifumo kama hiyo lazima gharama ziwe juu.

4. Faida ya Mfumo husika
Hapa kuna tatizo sana. Unakuta mtu anataka kujenga mfumo utakaodumu si chini ya miaka 10 ukimuingizia faida ila hataki kulipa hata robo ya robo ya robo hiyo faida. Mtu anapojenga mfumo anangaalia na profitability ambapo katika faida hiyo lazima na yeye kama muundaji anufaike.

5. Support
Kwa sababu msimba atakupa support baada ya kuujenga mfumo wako, hili nalo lihesabu. Support wakati mwingine ni ya muda mrefu sana na wengi hawapendi paid support so, unakuta inakuwa "bundled" kwenye development costs.

6. Reliablity and Brand Integrity (Insurance)
Bidhaa za kuuza barabarani huwa ni bei rahisi ila huna uhakika kama ikibuma jamaa utamkuta na hata ukimkuta kama atakubali alikuuzia. Same applies kwenye hii field. Ukija kwetu ambao tunabanwa na Company Act, ambao tuna ofisi, tuna Bank accounts, na kila kitu ambacho kinakupa security ya kwenda kudai haki yako mahakamani, basi gharama yetu haitalingana sawa na mtu ambaye hana hizo insurance. So brand pia inaongeza gharama kwa sababu duniani hakuna free insurance.

Kuna mengine mengi sana ila kwa sasa hayo yanatosha kukupa mwanga. Ningesema uje inbox tuongee biashara ila nachelea kusema kwa kuwa siku hizi JF kuna wateja chai sana.

HTH,
BH
 
Tatizo watu wanaona kufanya software development ni kama drag and drop hii tatizo sijawahi ona mtu hakitafuta cheap lawyer au cheap doctor .

Ila app au website yake ikisumbua kwenye masuala ya security anaanza lalamika wakati gharama ndogo ila developer akiwa muhindi analipa hela nyingi tu maana kuna sehemu nilikua nafanya kazi site moja ilikua $2000 kwa site na walikua wanalipa tena kwa muhindi tulikua tunatumia joomla na template za from yoo themes tena tulikua hatununuia zile template tuna download kimagumashi

Look what one of project www.makazitz.Co.tz it's custom website from scratch.

Pia developer tumekua cheap nadhani kutokana na kukosa soko au kazi za mara kwa mara au bado IT haijawa priority kwenye biashara hapa bongo
 
kindly visit mputa.co.tz to Order your app and more information
 
apps inategemea na functions na customezation so tupigie tukusikilize tukuhudumie
 
Hehehe, mkuu hiyo ni ajira ya mtu, app moja inaweza chukua muda mrefu sana, hadi miezi kadhaa, unataka mtu akufanyie bei gani? laki moja mbili?
Wanaotengeneza website kama blog ile sio complex skill wanatumia templates tu kitendo cha kubadilisha data, au wordpress na yenyewe vilevile tu. Ukitaka custom website na complex features hakuna mtu nayemjua wa kufanya chini ya Tshs.2Million.

Apps in most cases lazima uanze from scratch, kuandika code sio kitu rahisi kama watu wengi wanavyofikiria, hauendi tu na kuiambia computer app iko hivi na yenyewe ikafanya, kuna mambo mengi sana ya kujifunza, ni skill ambayo imetuchukua wengine miaka kuimaster.

App ya bei chini kabisa nilowahi fanya ni 500K na hiyo ilinichukua kama masaa manne kuikamilisha. Ila kawaida siendi chini ya 2M kwa simple apps na 10M+ kwa complex applications, miaka niliyopoteza kusoma inabidi ijilipe, mwisho wa siku app itakutengenezea wewe mamilioni kwa nini niifanye kwa laki moja mbili au less? hehehe! Wapo lakini developer uchwara wanaweza kukufanyia hata kwa 50K lakini jiandae kupata quality sawa na bei hiyo.

Em angalia hii picha ujifunze kitu
View attachment 517300
Unfortunately JF have single like..!
 
Pole sana, tatizo watu wanaojua kutengeneza Apps kwa sasa ni wachache. Nawashauri vijana walio vyuoni wachukulie hii kama fursa ya kujifunza na kujipatia jina na hivyo watengeneze hata bure. Bahati mbaya kwa sasa nafasi yangu ni finyu sana, la sivyo ningejitosa kukusaidia. Let's hope utapata mtu anayejali career kuliko pesa, soon.
Mtu anatengeneza app bure iwapo inamlipa yeye tu na si kutumia mda wake kumtengenezea mtu app bure
 
Hehehe, mkuu hiyo ni ajira ya mtu, app moja inaweza chukua muda mrefu sana, hadi miezi kadhaa, unataka mtu akufanyie bei gani? laki moja mbili?
Wanaotengeneza website kama blog ile sio complex skill wanatumia templates tu kitendo cha kubadilisha data, au wordpress na yenyewe vilevile tu. Ukitaka custom website na complex features hakuna mtu nayemjua wa kufanya chini ya Tshs.2Million.

Apps in most cases lazima uanze from scratch, kuandika code sio kitu rahisi kama watu wengi wanavyofikiria, hauendi tu na kuiambia computer app iko hivi na yenyewe ikafanya, kuna mambo mengi sana ya kujifunza, ni skill ambayo imetuchukua wengine miaka kuimaster.

App ya bei chini kabisa nilowahi fanya ni 500K na hiyo ilinichukua kama masaa manne kuikamilisha. Ila kawaida siendi chini ya 2M kwa simple apps na 10M+ kwa complex applications, miaka niliyopoteza kusoma inabidi ijilipe, mwisho wa siku app itakutengenezea wewe mamilioni kwa nini niifanye kwa laki moja mbili au less? hehehe! Wapo lakini developer uchwara wanaweza kukufanyia hata kwa 50K lakini jiandae kupata quality sawa na bei hiyo.

Em angalia hii picha ujifunze kitu
View attachment 517300
Mkuu umenikumbusha kuna mtu alikuja nikamtengenezea database kwa kutumia PHP & MySQL kwa laki saba na nusu akauliza naweza kutengeneza na app yake ya android, nikamwambia ndio ila nitatengeneza kwa 9M akashangaa sana hiyo difference, nikamwambia kama anaona ni bei sana akajaribu kwingine aje anipe mrejesho, sehemu nyingine alikuta mwenye bei ndogo zaidi ni 15M
Sijui kwa nini watu wanafikiria kazi ya kucode ni rahisi?
 
Mtu anatengeneza app bure iwapo inamlipa yeye tu na si kutumia mda wake kumtengenezea mtu app bure
Kwanini watu huwa wanafanya kazi za kujitolea? Mfano: umemaliza degree yako na upo unasaka kazi. Mwaka wa kwanza unapita, wa pili unapita, wa tatu unapita na bado uko nyumbani hujapata kazi. Ikitokea nafasi ya kufanya kazi inayoendana na profession yako utaikataa kwa sababu ni ya bure?

Watu wanatengeneza sophisticated games na kuzitoa bure itakuwa ki-app cha mtu ambacho hakina ugumu wowote kutengeneza? Ni mentality tu.
 
Back
Top Bottom