Wanaotembea na wake za watu

Wanaotembea na wake za watu

Provided mke wangu anatimiza wajibu wake kwa familia sina mda wa kumhisihisi, kigezo changu cha kumjua mchepukaji ni mabadiliko ya kitabia awapo na wewe, mwanamke anayefumaniwa na mchepuko huwa ameanza vurugu ndani siku nyingi na maelewano na mmewe huwa yamepungua kwa hiyo ukianza kufatilia mawasiliano yake lazima utamkamata na ndio mda mzuri wa kufanya maamuzi hapo sio lazima umfumanie maana hutaweza.
 
Dah so unamuachia na funguo za geto kabisa yani, ukirudi unajipakulia tu mke wa mwenzio, aisee lets learn that being selfish is the biggest culprit! Tukiacha ubinafsi dunia itakuwa mahala salama sana, usipende
usiogope kama mke wako mnaelewana vizuri, hawezi fanya haya
 
dah mapenzi mke wa mtu hatari, hapa tu nasoma haya kuna mnyama kanaswa live bila chenga na mke wa mtu ofisi jiran na kwangu..... stor ni ndefu binafsi huyo mama nishamgegeda na mlokolee balaa na msomi pia mume naye mtumishi sehem cha ajabu huyo mama hana shida kwake yyt kuhusu maisha lakini kimbembe akiona smart tu kadata... tuliachana kwa wivu wake sasa kalianzisha na mshikaji fulan kaona kapata leo kadabwa .... mke wa mtu ogopa! japo watamu balaaa hakuna gharama
 
Hahaha sema asilimia kubwa ya wake za watu wanaogongwa ni wale wa style hii! Unakuta mtu amepotezana na demu wake japo walikuwa wanapendana sana so uhusiano wao unakuwa kwenye "Doze mode" wakikutana wana resume sasa mbaya zaidi uwe ndio umeshaoa mwanamke wa hivyo, lazma atajiiba akachapwe nao kwa kijana wake wa awali hasa aliemtoaga bikra!
Hivyo jamaa anaposema kaolewa mke wake yupo sahihi kabisa hasa katika minajili ya kiroho!
Halafu pia, wake za watu wengi wanaogongwa ni kama wanafanya "revenge".

Mume kashaharibu na vidosho kibao huko, mke kamtunzia heshima, mpaka kachoka.

Na yeye anaamua kujiachia apunguze machungu.
 
Halafu pia, wake za watu wengi wanaogongwa ni kama wanafanya "revenge".

Mume kashaharibu na vidosho kibao huko, mke kamtunzia heshima, mpaka kachoka.

Na yeye anaamua kujiachia apunguze machungu.
Yeah hii ni sababu nyingine kuu ya mke kuuza utu nje ya ndoa, unakuta jamaa kavumiliwa sana hadi mke nafsi imechoka!
 
dah mapenzi mke wa mtu hatari, hapa tu nasoma haya kuna mnyama kanaswa live bila chenga na mke wa mtu ofisi jiran na kwangu..... stor ni ndefu binafsi huyo mama nishamgegeda na mlokolee balaa na msomi pia mume naye mtumishi sehem cha ajabu huyo mama hana shida kwake yyt kuhusu maisha lakini kimbembe akiona smart tu kadata... tuliachana kwa wivu wake sasa kalianzisha na mshikaji fulan kaona kapata leo kadabwa .... mke wa mtu ogopa! japo watamu balaaa hakuna gharama
Akiona smart phone au????[emoji47][emoji47][emoji47]
 
Mkuu ze-dudu nakwambia nipo zaidi ya akili nyingi sbbu jamaa namfaham hashindwi chochote ni mtata htr aachani na manati kutoka Czech Republic, kwaiyo najua kbsa hpa nabet vitu viwili roho yangu au marinda yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu manengelo mimi mke wa mtu alinifanyia visa mpka uvumilivu ulinishinda, alianza kwa kunilalamikia kua genye zimemzidi mpka anahisi kuumwa, nikamshauri aseme na mumewe, lkn alichonijibu ckutegemea, ikapita mda cku1 akanionyesha pichu yake,kwa kujinasibu kua mimi Navaa pichu za gharama c haba [emoji849][emoji849] cku nyingne nikaambiwa tumbo langu limekua et watu wanasema nina mimba nikafunuliwa tumbo, mwisho wa cku akanitumia picha ya porno nikasema uvumilivu umefika mwisho
Ikawaje mkuu??

Fanya kumalizia kwan kumalizia ilo somo nilifeli mkuu
 
Back
Top Bottom