syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,792
- 1,926
Wanamuita funza dume,anaingia popoteHalafu nyie wasambaa achene ukabila humu
Wanamuita funza dume,anaingia popoteHalafu nyie wasambaa achene ukabila humu
Sawa mume mwenza wa baba fatmaNimemla Nuru hadi kumtia mimba na kumzalisha japo ni mke wa baba Fatma .
Mkuu wew ni -me- au -ke- ?waume zao ndio walivyo full ubabe lakini kuto..mba hawajui
Katik hii dunia mwanadamu mwenye akili ni mtanzania pek akeMkuu ze-dudu nakwambia nipo zaidi ya akili nyingi sbbu jamaa namfaham hashindwi chochote ni mtata htr aachani na manati kutoka Czech Republic, kwaiyo najua kbsa hpa nabet vitu viwili roho yangu au marinda yangu
Mungu hanaga muda na wajinga kama ww
smartphone/safi ama smart lugha ya picha una maana flanidah mapenzi mke wa mtu hatari, hapa tu nasoma haya kuna mnyama kanaswa live bila chenga na mke wa mtu ofisi jiran na kwangu..... stor ni ndefu binafsi huyo mama nishamgegeda na mlokolee balaa na msomi pia mume naye mtumishi sehem cha ajabu huyo mama hana shida kwake yyt kuhusu maisha lakini kimbembe akiona smart tu kadata... tuliachana kwa wivu wake sasa kalianzisha na mshikaji fulan kaona kapata leo kadabwa .... mke wa mtu ogopa! japo watamu balaaa hakuna gharama
Tunawala sana yaani wakijilengesha tu imo waambieni wake zenu wasipende vitu vidogo vidogoBrother isiombe yakukute
Poa 2malipo ni hapa hapa duniani
Umeona eeehMke ndo tatizo uslaumu wanaume.
Kwa umeshawala wangap mi wa3Mi nimewakwepa mpaka nimesalimu amri mkuu....wake za watu ni tabu sana hawakwepeki kabisa
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
Hatari hatariMke wa Mtu naetembea nae sasa alikuaga Demu wangu kabla hata huyo mumewe wa sasa hajamjua, na hatukuwahi kugombana. Mizunguko tu ya kimaisha ndio ilitutenganisha na kutuachanisha. So Ki msingi mumewe ndo anatembea na Demu wangu wa Zamani.
Unazungumziaje bei elekezi ya koroshoAcha ushoga boya wewe