Wanaotembea na wake za watu

Wanaotembea na wake za watu

Mazee kama kuna nishani ya Nobel ya kuhalalisha mambo ningependekeza wakupe.

Sio tu umehalalisha kutembea na mke wa mtu, bali pia umempa makosa huyo mume wake kwamba yeye ndiye kaingilia reli yako kwa kukuchukulia demu wako wa zamani!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu ungefungua wewe huo uzi ingependeza zaidi
 
sawa mkuu kama kaja mwenyewe fanya yako ila usimfate kwake

Sasa mtu anakodi usafiri mwenyewe anakuja kwangu mwenyewe ...sasa nifanyaje?...Halafu wakati mwingine anakwambia anakuja kunifanyia usafi na kupika nyumbani,(nafanyia kazi nje ya Dar mara nyingi,familia nimeiacha huko huko) tena anang'ang'ania kabisa kuja kufua,kupiga deki,usafi kwa ujumla na kupika......na anakwambia mida yake ni saa 2 asb hadi saa 12 jioni mzee anarudi....duh wanawake tabu sana
 
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.

Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?

Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
mungu awalaani hao mashetani kabisa
 
Mlaumu mkeo kwa kukubali kutongozwa na kuvuliwa bikini na mwanaume mwingine, kama angekuwa anathamini hiyo ndoa asingethubutu kukubali
 
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.

Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?

Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
Bora umewaambia ila umewasahau wale wanaotembea na waume za watu pia
 
mi ukitembea na mke wangu nikujua nakurestisha in pis

Wanawake wana akili mbovu sana ni ngumu kuwaelewa....mimi kuna mmoja huwa ananikutanisha na mmewe kwenye pombe...anachofanya huwa anakuja na shoga yake halafu mmewe akimtafuta anasema yuko na shoga yake na mmewe(yaani mimi)sehemu fulani hivyo jamaa anasogea ananikuta mimi niko bize na shoga wa mke wake na yeye mchepuko nanakuwa bize na mmewe, wote tunapiga vyombo....Tukishiba mchepuko wangu na mme wake wanaondoka kivyao na mimi naondoka na shoga mtu namdrop kwake.....kesho yake ananitafuta namgonga kama kawaida....Kwa hiyo ndugu yangu endelea kuota ni ngumu sana kumuotea mke anayechepuka na mtu smart
 
Back
Top Bottom