Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.
Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?
Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.