Wanaotembea kwenda Ikulu wamevaa magunia

Wanaotembea kwenda Ikulu wamevaa magunia

waende pale ufipa kwenye ofisi zao ikulu haiwez kuwa inapokea wahuniwahuni hivyo

Umethibitishaje kuwa ni wahuni wahuni? Wakiwa kama Watanzania wanayohaki ya kusikilizwa na mkuu wao. Kama mkuu ataona hayana msingi atapima yeye, siyo wewe kumsemea mkuu wa Nchi
 
Njia ya tatu ya kumuona Rais wakati ule January yupo pale ni kumpa ada ya Dola mia moja mpaka mbili anakuandalia mchongo mpaka unamuona Rais. Njia hii ilijulikana sana hasa kwa wafanya biashara ambao wengine walikuwa wanaongeza dau.
Kweli Ikulu sasa ni pango la walaghai.
Kumbe hii ilikuwepo, sikujua kabisa na naendelea kutafuta namna ya kuongia kwa mzee nipige nae hata kapicha ka ukumbusho.
mambo mengine tustuane jamani, unatoa Mia unapiga naye picha
 
Kumbe hii ilikuwepo, sikujua kabisa na naendelea kutafuta namna ya kuongia kwa mzee nipige nae hata kapicha ka ukumbusho.
mambo mengine tustuane jamani, unatoa Mia unapiga naye picha

Leo wanamtaja kugombea eti Urais! Kudadeki! Yaani Urais jinsi ulivyoshushwa hadhi ni sawa na House girl wa MSALANI kutangaza hadharani kuwa atakuwa mke wa pili wa Lizaboni.
 
Last edited by a moderator:
Hao vijana nao wamekosa kazi ya kufanya. Hivi hizi akili wanazitoa wapi jaman. Mbna haya ni mambo ya kizamani sana
 
Hao vijana nao wamekosa kazi ya kufanya. Hivi hizi akili wanazitoa wapi jaman. Mbna haya ni mambo ya kizamani sana

Nikweli ndg mambo yakupeleka ujumbe kwa Kiongoz wa NCH kw style hii yakizamani sana yakisasa niyaSINGA SINGA na MwenyeHERI JAMES RUGE....!
 
IKULU inabidi iwapokee vijana ili wawezi kutoa mawazo yao.

**Iwapokee


Mkuu anuwani ya ikulu ipo wazi na hata kama unataka namba ya KIKWETE WE NAMBIE HATA MIMI NTAKUTUMIA ILI NA WEWE UTUME MAONI YAKO.

Lakini suala la kuruhusu watu MJNUNI wapokelewe Ikulu hilo halikubaliki.
 
Back
Top Bottom