Wanaotaka vs Wasiotaka Katiba mpya

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
684
Hapa najaribu kuweka table, mtakuwa mnaediti na kuongeza majina ili tujue public figures gani waliotoa maoni yao kuhusu katiba mpya. Ni majina ya wanasiasa individuals walio maarufu nchini, wasomi, wanaharakati, taasisi etc. Sitaki mtu aweke majina ya akina MS humu, nasema public figures nchini.

WANAOTAKA
1. Mizengo K. Pinda
2. Benjamin W. Mkapa
3. Frederick T. Sumaye
4. Joseph S. Warioba
5. Prof. Mukandala
6. Balozi H. Mbita
7. Kilango Malecela
8. CHADEMA
9. CUF
10. Makanisa
11. Mark Bomani
12. Prof. Mujwahuzi
13. Augustino Ramadhani
.
.
.

WASIOTAKA
1. Celina Kombani
2. F. Werema
.
.
.
 
Hapa najaribu kuweka table, mtakuwa mnaediti na kuongeza majina ili tujue public figures gani waliotoa maoni yao kuhusu katiba mpya. Ni majina ya wanasiasa individuals walio maarufu nchini, wasomi, wanaharakati, taasisi etc. Sitaki mtu aweke majina ya akina MS humu, nasema public figures nchini.

kwani ..... CUF, Chadema na Makanisa ni public figures..... which is which unahitaji majina ya watu mashuhuri au wadau mashuhuri.....? clarify bana
 
...
 
Mkuu ungeanza na groups ndo ukaweka individuals. Ingenoga sana. Kwa wanaotaka anza na Misikiti,Makanisa/maaskofu, cuf,cdm, etc kama ulivofanya. WASIOTAKA: taasisi ya rais na rais mwenyewe,maana yu kimya! Weka CCM,Werema,Kombani,Mwinyi ,etc . Tupo pamoja!
 
Back
Top Bottom