Waarabu ndio waliomfukuza mtume kutoka Makka na kumfanya akimbilie Madina.
Waarabu ndio waliowatesa waliosilimu na kuwapa adhabu kubwa.
Kwa hivyo asili ya waarabu wakipinga uislam.
Kwa hivyo usishangae nchi za uarabuni leo kushirikiana na wasiokuwa waislam.
History hujirejea.
Wakiristo someni history ya dunia
Hizi ni chuki dhidi ya Waarabu na sio jambo zuri.
Kuhusisha uarabu na waarabu (kama jamii) kuwahusisha na kumpinga Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Unasahau pia wengi mnoo waliomuamini wakati akiwa hai na kuwa Maswahaba wake (Allah Awaridhie) walikuwa ni Waarabu.
Majority ya Maswahaba walikuwa ni Waarabu na walikuwa pamoja na Mtume na wakamhami na waliipigania Dini ya Allah na mpaka walipigana na ndugu zao wa damu kwa sababu ya hii Dini.
Umewasahau waliohama nae kwenda Madinah(Muhaajiruun), almost (karibu) wote walikuwa waarabu. Ansar (waliompokea Mtume kule Madinah na kumnusuru) almost (karibu) wote walikuwa Waarabu.
Acha chuki dhidi ya Waarabu.
Waarabu wana mchango mkubwa mno katika kuipigania Dini hii Tukufu.
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) yeye mwenyewe alikuwa ni Muarabu.
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alianza kuwalingania watu wa karibu na wale waliomzunguka ambao wengi walikuwa waarabu. Wapo waliomuamini na wapo waliomkataa na kumpiga vita.
Waliomuamini waliubeba Uislam na kuupigania kwa nafsi zao na mali zao. Walipigana mpaka na ndugu zao wa damu. Hili unajifanya kulisahau.
Waislam walioko nchi za kiarabu wao ni bora zaidi kuliko makafiri na washirikina.
Na vita ya mazayuni na marekani dhidi ya marafidha wa Iran ni vita ya wenyewe kwa wenyewe. Wote ni makafiri. Waislam haiwahusu.
Na wala nchi za Kiarabu hazishirikiani na makafiri kuwapiga wa Iran, na waliahidi kuwa hawatoruhusu anga zao zitumike kuwapiga na wamekuwa wakipinga vita dhidi ya Iran. Saudia imefanya juhudi kubwa kuzuia vita dhidi ya Iran, ila Qaddara Allah, imetokea.
Lakini tazama, Marafidha wanawalipa nchi za kiarabu kwa kuwapiga mabomu. Mpaka waOman ambao ni diplomatic partners wakubwa wa Iran na hata Qatar wanarushiwa mabomu.
Iran imerusha mabomu mengi zaidi kwa nchi jirani zake kuliko ilivyorusha kwa mazayuni.
Watu mnalalamika kuwa sijui kuna bases za waMarekani nchi za Kiarabu, hivyo kwa sababu hiyo tu nchi za kiarabu hazifai. Ila hamsemi ukaribu wa Iran na waRussia na China na North Korea. Au hizo dola tatu (Russia, China na North Korea) ni dola za Kiislam??
Russia ilikuwa ina kambi ya kijeshi kule Syria wakati wa yule kafiri Bashar, na wakiwaua Waislam Syria wakishirikiana na Iran. Mbona hamkulalamika?
Au Putin sio kafiri?
Mbona hamsemi Iran ilipokuwa inahujumu majirani zake. Ilivyofadhili proxies katika nchi za wenzie ambao walikuwa wanazihujumu, mbona hamsemi?
Marafidha wa Iran wamekuwa wakiwahujumu sana nchi za majirani na kupambana kuwaharibu.
Ni marafidha wa Iran wenyewe ndio walio ji isolate na majirani zao. Na bado majirani kwa nia nzuri tu walikuwa wakinyoosha mkono wa diplomasia na amani. Ila marafidha hawataki na waliendelea kuwapiga vita. Na hata hii leo wakati majirani wanajitahidi vita isitokee, na kupinga Iran isivamiwe, ilipotokea marafidha wanawarushia mabomu.
Na ukizingatia pia marafidha ni makafiri, vita yao na mazayuni na wamarekani ni vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Na mwisho, tanbihi, marafidha wa Iran ni makafiri sio kwa sababu ni Waajemi (Persians) bali kwa sababu ya itikadi zao za kikafiri na kishirikina zilizo kinyume kabisa na Uislam, kwa sababu dini yao iko mbali na Uislam.
Iran kiasili ni nchi ya Kiislam na walitokea wanachuoni wakubwa wa Kiislam kule kabla haijavamiwa na marafidha wakawaua Waislam na wengine wengi wakakimbia kuhifadhi Dini yao na Damu zao. Marafidha wakaigeuza kuwa nchi ya Iran kuwa ya kirafidhi. Licha ya hivyo bado Iran ina Waislam (Ahlus-Sunnah) ambao wanakandamizwa huko. Mayahudi wa Iran wanaishi kwa raha huko kuliko Ahlus-Sunnah wa huko. Lakini bado kuna Ahlus-Sunnah huko Iran.
Allah Airejeshe Iran katika mikono ya Waislam, Allahumma Aamiin.