Wanaosema haki kwanza wapo wapi?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,248
Reaction score
14,135
Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya Iran ?
 
Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Gentleman,
posho si ndio zinatoka kwa hao wakandamiza haki?

yaani unataka maria sarungi au muandishi wa mchongo mkalenjini larry madow atetee haki za watu wa Irani, Lebanoni au Sudani? halafu watalipwa na nani sasa kwa mfano wakafanya hivyo?
 
Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Kelele za kudai haki za waIran zinapigwa na wairan maana hata wao wako mitandaoni. Ama unadhani watanzania tu ndio wana access na mitandao hivyo huwasikii? Ama unataka usikie na I akidai hizo haki za hao wairan ndio ujue zinadaiwa?
 
Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Iran hii inayofadhili magenge ya kigaidi duniani? Wacha wachapike tu. Unahangaika na watu wasiokuhusu hao jirani zake wa Kiarabu wala hawana muda naye wewe mkojani ndiyo unakomaza fuvu kuwatetea, ukapimwe akili wewe si bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…