Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi

Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi

Sio hoja yangu na ndio maana siitetei kwakuwa mimi sikuileta hapa, aliyeileta ni wewe na ndio maana nakusisitiza hapa uijibu

Hoja yenyewe ni hii

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
Sijui huelewi wapi kijana. Kingine kwanini ulileta ukosoaji juu ya jambo usilokuwa na ujuzi nalo ?

Hili kwangu dogo sana, jibu yale maswali niliyo kuuliza kabla ya wewe kuuliza swali.
 
Hatukuanzia hapo?

Haya Post #65 ulim-Quote nani?
Post namba 65 nilikuwa namuweka sawa Kiranga na swali lake, wewe ukaja kuondoka na swali lake lile lile ambalo nimeshampa muongozo. Maana yake ukaja kudakia na kuleta ujuaji tena. Kwahiyo kiini kimeanzia post namba 65 kurudi nyuma.
 
Kwanza kabisa.

Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
 
Sijui huelewi wapi kijana. Kingine kwanini ulileta ukosoaji juu ya jambo usilokuwa na ujuzi nalo ?

Hili kwangu dogo sana, jibu yale maswali niliyo kuuliza kabla ya wewe kuuliza swali.
Hilo swala la ukosoaji linabakia kama mtazamo, mimi nilinukuu hoja yako kama ilivyokuwa sasa ni muda wa kutoa ufafanuzi wa kile ulichokianzisha

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
 
Post namba 65 nilikuwa namuweka sawa Kiranga na swali lake, wewe ukaja kuondoka na swali lake lile lile ambalo nimeshampa muongozo. Maana yake ukaja kudakia na kuleta ujuaji tena. Kwahiyo kiini kimeanzia post namba 65 kurudi nyuma.
Mimi ni kiranga?

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
 
Nasubiri uthibitishe ya kuwa Allah hayupo.
Lakini kumbuka huu utaratibu wako ulikushinda mwenyewe hapa
1648752368843.png
 
Hilo swala la ukosoaji linabakia kama mtazamo, mimi nilinukuu hoja yako kama ilivyokuwa sasa ni muda wa kutoa ufafanuzi wa kile ulichokianzisha

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
Rejea kasome ulichokiandika.
 
Mimi ni kiranga?

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
Nimekujibu kuhusu post namba 65. Kijana unasumbua watu ujue ? Wewe ulinuiliza nini ? Kwa ujinga huu ukipuuzwa ndiyo unasema umekimbiwa ?

Ni wepesi wako na kupotezea watu muda ndiyo unafanya nikupuuze.
 
Nimekujibu kuhusu post namba 65. Kijana unasumbua watu ujue ? Wewe ulinuiliza nini ? Kwa ujinga huu ukipuuzwa ndiyo unasema umekimbiwa ?

Ni wepesi wako na kupotezea watu muda ndiyo unafanya nikupuuze.
Umesahau hata nilichokuuliza?

Nilikuuliza hivi "nani aliyeanza kumuuliza mwenzake maswali kwenye huu mjadala?"

Ukajibu kuwa ni wewe ndio ulikuwa wakwanza kuniuliza maswali

Halafu unakuja kunipa post uliyom quote kiranga kuwa ndio post uliyoniuliza mimi maswali

Mbaya zaidi ni halo ulipoweka sababu yako ya kukimbia maswali kwa kile unachokiita kupuuza

Huoni kwamba "kupuuza" ni uchochoro unaoutumia kukwepa maswali kimakusudi?
 
Rejea kasome ulichokiandika.
Nisharejea na nimebaini mambo kadhaa.

Kuwa

Hilo swala la ukosoaji linabakia kama mtazamo, mimi nilinukuu hoja yako kama ilivyokuwa sasa ni muda wa kutoa ufafanuzi wa kile ulichokianzisha

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
 
Hili nilishalimaliza soma nilichoandika baada ya hapo.

Ulitakiwa ufanye nini baada ya mimi kuandika hayo ?
Mi sizungumzii kulimaliza nazungumzia kutoa jibu la swali nililokupa

Hata kukimbia hoja nako unaweza kuhesabia kama umelimaliza

Nambie ni wapi ulithibitisha hizo jamii hazipo?
 
Kingine hichi ulichokiweka hapa hakihusiani kabisa na hiki cha sasa.
Ni kweli hakihusiani hilo nakubali

Nimeweka kukukumbusha kuwa aina ya hoja unayotumia dhidi ya mdau ilishawahi kukushinda

Kama sasa unataka kubisha kwa kutokiri kuwa ulishindwa basi utalifanya hili nalo liwe mjadala kwasababu sitapenda kuonekana muongo na itanilazimu unioneshe wapi ulipotoa majibu yakuthibitisha hizo jamii hazipo
 
Mkuu kwa ulivyosema tu kuwa haya mambo hayatakiwi kutumia akili kwa mtazamo wako, hiyo ni hoja yenye ushawishi?

Ebu geuza kibao chukulia hayo maneno ndio yamesemwa na mkristo katika harakati za kukutaka kukuonesha jinsi Ukristo ndio imani sahihi na Uislamu ni upotofu, utayakubali maelezo hayo?

Umesema haipaswi kuuliza baafhi ya maswali mfano kuuliza Mungu alitoka wapi

Kama unaweka kizuizi kwa maswali ya msingi ambauo unaelewa mtu yeyote ambaye haamini Mungu hilo litakuwa swali lake muhimu, unategemea nani atakubaliana na maelezo yako kuwa ni yakweli?

Umeninukuu ndivyo sivyo ndugu, hamna sehemu nimeandika hivyo - japo huo ufahamu nimeshajua umeupata kwenye maelezo gani, sehemu nilipoandika neno 'haya' ndipo nilipokuwa nimeandika neno 'sana' zaidi ya mara mbili kwa kukazia, naamini unafahamu maana ya neno 'sana', maana niliyokusudia pale ni matumizi ya akili ya kuyakinisha yaliyotufikia kuchunga mipaka na nidhamu za kuhoji - na si kukithirisha kuhoji kulikopindukia, ama kwenye maelezo ya chini yake nilipoandika masaili 'mambo' mengi - nilikusudia si jambo moja tu, ni zaidi ya moja ambayo hayapimwi kwa akili, hivyo yaweza kuwa mawili au manne nakadhalika, suala la kuchunga matumizi ya akili kwenye kila kitu kilichotufikia katika dini halipo kwa waislamu tu - ni moja ya misingi midogo ya nidhamu inayopatikana kwenye imani nyingi sana, kwa nini tahadhari zimewekwa? sababu wanadamu wengi ni wajinga 85%, na tuna imani haba, akili finyu na maarifa madogo - kwa minajili hiyo tunapodadisi kwa kupindukia kuhusu jambo fulani kwenye dini huweza kupelekea kwenye kukengeuka

Unafahamu maana ya neno imani? naamini unafahamu - japo sina hakika kama tuna ufahamu mmoja na uliosahihi, hoja ngapi zenye nguvu za uwepo wa MUNGU umewahi kuwasilishiwa na hazijakushawishi? uongofu hauji kwa hoja peke yake tu, ingekuwa ni hivyo basi watu wote walioamiliana na kuwadiriki manabii na mitume na hali wana akili timamu wangeshawishika na kuwafuata, mbona haikuwa hivyo? unafahamu kwamba utashi aliojaaliwa mwanadamu na lugha zake: vyote havitoshi kueleza sifa na ukubwa wa MUNGU kwa mapana, kwa kina na kwa usahihi 100%? bila shaka unafahamu hali za watu nchini INDIA kwa misingi ya imani zao, na bila shaka unafahamu IQs na upeo mkubwa wa kupambanua mambo waliojaaliwa wahindi katika fani mbalimbali, na naamini bila shaka unakubali kwamba wengi wao wamekuzidi upeo na IQ, kama akili ndo kila kitu mbona hawa wamekuzidi na wanaabudu ng'ombe? mbona wamekuzidi upeo na wanaabudu mawe? fahamu si kila mwenye macho anaona ndugu, na si kila mwenye masikio anasikia, suala la kukubali linategemea na mtu, si kila moyo upo wazi na huru kupokea kweli au haki, baadhi ya mioyo imefungwa - imejikita kupinga tu, rejea juu pale kwenye maelezo yangu: haijalishi ni nini kinajadiliwa - zisimikwe hoja zenye nguvu kuliko zote kuwahi kuwepo kwenye historia ya wanadamu: fahamu kwamba kamwe wanadamu wote ulimwenguni hatuwezi kuwa kwenye ukurasa mmoja wa ufahamu

Si kwamba haipaswi kuuliza kwa maana hayo maswali hayana majibu - hapana, na si kwamba haipaswi kuuliza - hapana, kilichotahadharishwa ni kukithirikisha zaidi katika kufanya hilo, neno sana kwenye maelezo yangu nililitumia sehemu nyingi sana, hali inayopendeza ni kuuliza au kutafakari jambo kwa wastani 'kati na kati' na si hadi kuchupa mipaka, hamna aliyekuwekea kizuizi kwenye kuuliza, kuuliza unaweza kuuliza tu, kilichowekewa tahadhari ni kuzidisha sana katika kuuliza kiasi cha kumfanya mtu kwa upeo wake mdogo atilie shaka anachokiamini - kwenye ulimwengu wa imani hii ni moja ya kazi za shetani, unapata picha gani unapojenga fikra za maisha ya wanadamu yasiyokuwa na sheria, kanuni na taratibu? hamna jambo lililoshushwa kisha likaachwa hivyohivyo pasina kuwekewa ABC

Suala la kukubali au kutokukubali hoja na dalili unazopewa hakufanyi suala husika kuwa ni la kweli au si la kweli, wangapi wameupokea upotofu kwa utashi wao wakiamini na kuitakidi kwamba ni kweli na haki na hali ni kinyume chake? jaalia umeshuhudia mtu akitembea juu ya maji ya bahari na ukaenda kuwasimulia rafiki zako, je watakusadikisha? au watakupinga kwa hoja ya UPTHRUST? je huku kukubali au kutokubali kwao kunafanya ulichokiona kuwa ni haki au si haki? nisaidie na hili: hivi wana mazingaombwe wanapompasua mtu na kumtoa kirungu tumboni huwa ni kweli au si kweli? ni jambo nililolishuhudia kwa macho yangu zaidi ya mara moja, hoja: kuona si kuamini, hapo ndo utajua siyo kila ndiyo ina ndiyo kiundani na kuna baadhi ya ndiyo zimeambatana na siyo, na hiyo ni mifano michache tu, unazijua aina za logical reasoning?

Shabaha kuu ilikuwa ni kukutumia vitabu tu - hayo mengine yalikuwa ni nyongeza tu
 
Umesahau hata nilichokuuliza?

Nilikuuliza hivi "nani aliyeanza kumuuliza mwenzake maswali kwenye huu mjadala?"

Ukajibu kuwa ni wewe ndio ulikuwa wakwanza kuniuliza maswali

Halafu unakuja kunipa post uliyom quote kiranga kuwa ndio post uliyoniuliza mimi maswali

Mbaya zaidi ni halo ulipoweka sababu yako ya kukimbia maswali kwa kile unachokiita kupuuza

Huoni kwamba "kupuuza" ni uchochoro unaoutumia kukwepa maswali kimakusudi?
Kijana siyo muelewa kabisa. Wewe ulikuja kuchukua swali ambalo aliuliza Kiranga unakumbula hilo ?

Mimi nilimjibu vipi Kiranga ? Baada ya hapo kuna post nilianza kuuliza maswali ulijibu swali gani katila ile post ?

Kupuuza, ni baada ya wewe kuendelea kuuliza maswali ya kijinga baada ya wewe kujibiwa. Hujaelewa wapi hapo ?
 
Ni kweli hakihusiani hilo nakubali

Nimeweka kukukumbusha kuwa aina ya hoja unayotumia dhidi ya mdau ilishawahi kukushinda

Kama sasa unataka kubisha kwa kutokiri kuwa ulishindwa basi utalifanya hili nalo liwe mjadala kwasababu sitapenda kuonekana muongo na itanilazimu unioneshe wapi ulipotoa majibu yakuthibitisha hizo jamii hazipo
Sasa unanikumbusha vipi kwa jambo halihusiani na tunachojadili hapa ? Maana yake hata si kwa aina ya hoja. Shida yako ni pale unapo jiona umeelewa jambo wakati hujaelewa. Kama umekiri hakiuhuisiani maana yake si aina ya hoja unayo ikusudia hapa.

Sasa nikiri vipi kwa jambo la uongo ? Hili ukitaka kuwa mjadala utajadili wewe mwenyewe, siwezi kupoteza muda wangu kujadili ujinga kijana.

Hapa kuhusu hili nimemaliza.
 
Mi sizungumzii kulimaliza nazungumzia kutoa jibu la swali nililokupa

Hata kukimbia hoja nako unaweza kuhesabia kama umelimaliza

Nambie ni wapi ulithibitisha hizo jamii hazipo?
Jibu swali nililo kuuliza.

Huyo siyo mimi aisee, mimi ni yule ambaye silei wajinga.
 
Nisharejea na nimebaini mambo kadhaa.

Kuwa

Hilo swala la ukosoaji linabakia kama mtazamo, mimi nilinukuu hoja yako kama ilivyokuwa sasa ni muda wa kutoa ufafanuzi wa kile ulichokianzisha

Wewe ndio uliyeleta hii mada na wewe ndio mwenye jukumu la kutoa ufafanuzi

Vitu vilivyo nje ya uwezo wa binadamu ni vitu gani?
Jibu maswali niliyo kuuliza, naona unaendelea kurudia jambo ambalo nomeshatoa ufafanuzi zamani sana.
 
Back
Top Bottom