Mungu ameumba free wills kwa Mwanadamu!!,,,lkn akampa Sheria zake kuwa aishi ivi, hutaki atakuadhibu! nakuwa mwanadamu amuabudu tu baasi!! ndo alivo taka! hakuna kuhoji!.... Mfano Mama/Baba yako lazima umuheshimu!!...ufanye anayo taka!!
lkn pia una uhuru wa kuto muheshimu!!...na usipo muheshimu Mzazi wako kuna adhabu utaipata maarufu hapo Bongo!! hii inaitwa Laana!...km huijui jaribu tu!
yaani hata unaweza kumtukana, kumpiga,kumfanya hata kijakazi wako....kumfungia nje, hata kumpiga mpaka uka muua,,,,lkn nikuulize tu....Matokeo yake ni Mazuriii??......hata Mtu mpita njia ! anae lingana Umri na Baba yako utamheshimu sana!!
Kama utafanya Mabaya kwa Wazazi wako Duniani humu iko shida km hutaoa!! wala kuolewa!! ajabu sasa waolewaji nani aliwaambia kuwa ulifanyia wazazi wako hayooo hadi wakukatae???!....hata km utaoa ukazaa kwa kujibana saaana....kipigo watakacho kupa hao wanao, siyo cha Dunia hii!!
Uzuri ni kwamba unaweza ukajaribu tu!! uone matokeo.... mwishoni hii itakuonyesha kuwa Mungu yupo!...hao wazazi ndo miungu wako wa kwanza kabisa Duniani!.....Kinyume chake wapende uwaheshimu!! uone utakavyo tusua..kmau zaidi ya Diamond!
Jiwe alidharau Machozi ya Mamake mwandishi Kabendera tena yule mama akalia kuwa mwanae ndo nguzo!! uhai wake unamtegemea mpaka yule Mama kafa.......haya Jiwe yuko wapi leo???.... Na kabendera alimpenda na kumuheshimu Mama yake fika!!
Leo kabendera anatusua majuu!! kuku kwa Mrija na Mbinguni ataenda!! je Jiwe wako yuko wapi?? kwanza hata hakupata mda wa kutubu! Na Jiwe alikuwa mdogo sana kwa yule Mama! lkn jiwe halikumheshimu wala kusikiliza ! sababu ya kiburi cha uzima eti Rais!
Na jiwe kafa kwa ugonjwa uleule ulio muua yule Mama!! pamoja na kulindwa juu na chini, pamoja na Madaktrai wooote kumtibia lkn hawakuona dawa!!...jiwe akadharaulika Duniani mara dufu....akaogopa hata kusafiri!! akafia humu!!
Kabendera ni Muandishi..