Jibu maswali niliyo kuuliza.Nimekuuliza makusudi nikijua wewe ndiye uliyeanzisha hiyo habari
Nataka unijibu sasa uniambie mambo ambayo yako nje ya uwezo wa binadamu ni yapi?
Jibu maswali niliyo kuuliza.Nimekuuliza makusudi nikijua wewe ndiye uliyeanzisha hiyo habari
Nataka unijibu sasa uniambie mambo ambayo yako nje ya uwezo wa binadamu ni yapi?
Sijawahi kukimbia, kwahiyo unanifanisha mimi na wewe ambaye unakimbia maswali yangu mpaka nakupuuza.Ushaanza kukimbia mjadala
Ukibadilisha nia yako unakuwa umebadilisha alichokupangia?Bila shaka kabisa, mara ngapi tunabadilisha nia zetu ?
Hawezi vipi wakati amepewa uwezo wa kufanya na kutofanya ?
Jibu maswali niliyo kuuliza. Kisha nijibu swali lako.Ukibadilisha nia yako unakuwa umebadilisha alichokupangia?
Kama hukimbii maswali niambie kati yangu mimi na wewe ni nani aliyeibua hoja ya kusema kuna vitu viko nje ya uwezo wetu?Sijawahi kukimbia, kwahiyo unanifanisha mimi na wewe ambaye unakimbia maswali yangu mpaka nakupuuza.
Safi kabisa, kama unajua mimi ndiyo nimeanzisha hoja, kwanino uliendelea kujadili kabla ya kuuliza kuhusu mambo yaliyo nje ya uwezo wetu ? Maana yake ulikuwa hujui unachokijadili au kama unakijua kipi kinakushinda kujibu maswali ninayo kuuliza ? Maana yake hutoki katika nukta tatu hizo.Kama hukimbii maswali niambie kati yangu mimi na wewe ni nani aliyeibua hoja ya kusema kuna vitu viko nje ya uwezo wetu?
Huu mfumo unaouleta ndio ule uliokukimbiza kwenye mjadala siku ile, hiki unachokifanya kikifanywa na mwingine inakuwa kero kwakoSafi kabisa, kama unajua mimi ndiyo nimeanzisha hoja, kwanino uliendelea kujadili kabla ya kuuliza kuhusu mambo yaliyo nje ya uwezo wetu ? Maana yake ulikuwa hujui unachokijadili au kama unakijua kipi kinakushinda kujibu maswali ninayo kuuliza ? Maana yake hutoki katika nukta tatu hizo.
Au ukiri ya kuwa hujui unachokijadili.
Hapo ndio bye bye ushakimbia tena, asiyekufahamu nani?Jibu maswali niliyo kuuliza. Kisha nijibu swali lako.
Umeandika sana ila point less kulingana na swali nililouliza nimesema Mimi kwa Mujibu wa Quran ni kitabu ambacho nakiamini nimeumbwa na MunguHizo ni Mythology za waarabu Tena walizicopy kutoka Kwenye Maandiko ya Israelites
Hizo zimeeleza Nadharia za uumbaji bila uthibitisho Zaidi ya masimulizi yaliyojaa Ngano ambazo Kila jamii inazo
Mpaka Leo Moja ya theory Bora ya uumbaji ni Ile ya SUMERIAN tables ambayo ni kongwe Sana Kuliko bible na Quran verses
Sumerian tablets zinawaelezea ANNUNAK kama viumbe waliofanya human cloning na human manipulation Kwa
Homo Electus na akabadilika na kua Homo sapiens Sapiens,
Nadharia ya Annunak inakubalika kisayansi na imesaidia kufanya cloning Kwa viumbe mbali mbali unaowaona Leo kuanzia wanyama mpaka binadamu na hii inamake sense katika Ulimwengu wa Leo Kuliko Vitabu vyenu vilivyojaa Ngano na hekaya za kijuha
Summeria tablets zimeandikwa Zaidi ya Miaka 450,000 BCE
Kwenye clay tablets na zinasema binadamu alifanyiwa cloning na human manipulation Ili awe kibarua wa kuchimba Dhahabu za ANNUNAK kutoka Huko sayari ya Nibiru na Leo watafiti wa mambo kale wanazidi gundua machimbo ya kale sana kuzidi historia ya Uwepo wa Mwanadamu na watu mengine wameyagundua Huko South Africa na Maputo msumbiji,mengine ni Yale ya grand Canyon Huko America
Sasa Wewe ndio utafute maarifa Acha kuariri Vitabu vya Dini za kuletewa bila kutafuta maarifa mengine Nje ya Hizo mythology!
ndugu, Mungu yupo ebu naomba ujiulize haya mambo yafuatayoSiyo kwamba hupo hapa kunithibitishia Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
simjuiUmeandika sana ila point less kulingana na swali nililouliza nimesema Mimi kwa Mujibu wa Quran ni kitabu ambacho nakiamini nimeumbwa na Mungu
Quran 35:11
Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
Quran 23:14.
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
Je wewe ambae haumini Quran wala haumini uwepo wa Mungu ni nani amefanya hadi Leo upo hapa duniani
Nimeona hapo katika maelezo yako mengi umewataja ANNUNAKI ila sijaona sehemu uliyoandika kwa hao ANNUNAKI ndio wamekuumba wewe hadi Leo hii upo hapa duniani na kukana uwepo wa Mungu
Unasema ANNUNAKI walifanya cloning
By defn
Cloning is a technique scientists use to make exact genetic copies of living things. Genes, cells, tissues,
ANNUNAKI kwa hiyo cloning waliwabadilisha kutoka Homo electus na kuwa homo sapiens je! Ni nani Creator wa Homo electus
Kijana huwa nakwambia hivi, usijibu hoja zangu kama hujazielewa. Unakumbuka nilikwambia nini ile siku ? Nilikwambia unatakiwa ukijue unachokijadili.Huu mfumo unaouleta ndio ule uliokukimbiza kwenye mjadala siku ile, hiki unachokifanya kikifanywa na mwingine inakuwa kero kwako
Hivi unaelewa kwanini post namba 162 paragraph ya kwanza niliandika vile?
Nikwasababu nakujua mambo yakikufikia shingoni hiyo ndio mbinu yako kukimbia mjadala, sasa pitia post #155 halafu uniambie pale ulitakiwa kujibu au kuuliza swali, jambo hilo lingefanywa na mwingine saizi tungekuwa tume stuck hapo hapo "jibu swali langu kwanza"
Rejea kuanzia post namba 139 kisha uniambie pale ulitakiwa kujibu swali nililo kuuliza au kuuliza swali ? Muda huo ambao jibu kwa swali halijakidhi vigezo ?Huu mfumo unaouleta ndio ule uliokukimbiza kwenye mjadala siku ile, hiki unachokifanya kikifanywa na mwingine inakuwa kero kwako
Hivi unaelewa kwanini post namba 162 paragraph ya kwanza niliandika vile?
Nikwasababu nakujua mambo yakikufikia shingoni hiyo ndio mbinu yako kukimbia mjadala, sasa pitia post #155 halafu uniambie pale ulitakiwa kujibu au kuuliza swali, jambo hilo lingefanywa na mwingine saizi tungekuwa tume stuck hapo hapo "jibu swali langu kwanza"
Mimi nipo kijana, sababu nina kijua nachokijadili. Jibu maswali ninayo kuuliza kisha tuendelee.Hapo ndio bye bye ushakimbia tena, asiyekufahamu nani?
Kutengenezwa pia inawezekana. Sheria haziruhusu bado duniani kote. Hakujakuwa na hitaji la kutengeza. Dunia haina uhaba wa watu, tena unaweza sema tumezidi kuliko fursa za maisha zilizopo. Watu wanazaa zaidi kuliko kuzalisha mali!Kuna bank ya kuhifadhi shahawa na mayai nilidhanii utasema kuna mtambo unao tengeneza shahawa na mayai ya binaadam
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mkuu, wengi hawataelewa. Kukubali kwamba "this is it" hakuna msaada huko "mbinguni" au maisha zaidi ya haya tunayoishi ni ngumu kwa wengi. Ukifa ndio mwisho. Giza. Hujitambui. Huhisi chochote. Utasahaulika kama vile ulivyokuwa hujulikani kabla ya kuzaliwa!Wasipokuelewa hapa Hawa viumbe hakika vichwa vyao ni mizigo mizigo Sana Mkuu!
ninyi msioamini Mungu mbona hoja hizi hamzijibu?ndugu, Mungu yupo ebu naomba ujiulize haya mambo yafuatayo
-Ni nani alieumba anga za juu/universe? Yan namaanisha solar system kiujumla?
-Ni nani alieumba dunia alafu akaweka vitu na viumbe kwa utaratibu mzuri akaweka huku maji huku ardi ili viumbe vyote viweze kupatikana na kuisha,na akaumba tembo,simba,chui n.k alafu akawaumba kuwa ni hatari lakin akawanyima utashi na akili zaidi na akamuumba binadamu akampa akili na utashi.na ingetokea hao wanyama tajwa hapo juu wangepata akili kama ya binadamu ingekuwaje?
La mwisho ndugu zangu msio amin uwepo wa mwenyez MUNGU ni bora mkaamini yupo mkienda huko kwake mumkute kuliko huamim hayupo ukaenda ukamkuta.
Kwa nini swali liwe "nani"?ndugu, Mungu yupo ebu naomba ujiulize haya mambo yafuatayo
-Ni nani alieumba anga za juu/universe? Yan namaanisha solar system kiujumla?
-Ni nani alieumba dunia alafu akaweka vitu na viumbe kwa utaratibu mzuri akaweka huku maji huku ardi ili viumbe vyote viweze kupatikana na kuisha,na akaumba tembo,simba,chui n.k alafu akawaumba kuwa ni hatari lakin akawanyima utashi na akili zaidi na akamuumba binadamu akampa akili na utashi.na ingetokea hao wanyama tajwa hapo juu wangepata akili kama ya binadamu ingekuwaje?
La mwisho ndugu zangu msio amin uwepo wa mwenyez MUNGU ni bora mkaamini yupo mkienda huko kwake mumkute kuliko huamim hayupo ukaenda ukamkuta.
Nimekujibu. Hoja zako zinatuonesha Mungu hayupo, ila wewe hujui.ninyi msioamini Mungu mbona hoja hizi hamzijibu?
yan unamaanisha kila kilichoumbwa kwa uwezo wa kipekee bas kina muumba wake!kwahyo hapo unakubali kabisa kuwa sisi viumbe wa dunian tunamuumba wetu ! Lakin hakuna formula ya kuwa kila kinachoumba kitu complex bas nae lazma aumbwe na mwingne coz hata sisi binadamu mbona tunashindwa kuumba viumbe vingne? Kwahyo sio lazma Mungu awe ameumbwa ila yeye ni alfa na omega,alikuwepo na atakuwepo daimaNimekujibu. Hoja zako zinatuonesha Mungu hayupo, ila wewe hujui.
Kama kila kilicho complex kinahitaji muumba, Mungu naye ni complex na hivyo atahitaji muumba wake, na muumba wake naye atahitaji muumba wake.
Katika ulimwengu huo, hakuna Mungu.
Hoja yako inaonesha Mungu hayupo.