Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

sasa hiyo string theory ndo inakwambia wanadamu wanatoka makalioni. Unakera na utetezi wako kwa masuala ambayo ni aibu kwa jamii nzima! Shame on you the advocate of evil!
 
Je? Utakuwa ndio ufumbuzi wa tatizo , au mbona sodoma naGomorrah Mungu aliwaangamiza ,
lakini badoo wapo , sasa basi huwezi tatua kwa njia hiyo tumia busarah , na hekima utafika

Sasa naanza kuamini kuwa una matatizo makubwa mno, umefikia kumkosoa Mungu kuwa hukumu aliyoitoa kwa Sodoma na Gomora alikosea..!
 
Mkuu Ushoga sio maradhi! Sitaki kuamini kwamba mtu ukiambukiza watu ukimwi huwapi madhara naamini unafahamu maradhi ya ukimwi yanavotesa watu either labda uwe umechanganya kupinga vita ya ukimwi na kunyanyapaa mgonjwa wa ukimwi!!

It seems that you're obssessed with this gay thing.
 
Kumbe ni ndaga kyala ....."niangusage mwenyewe na sambi sako mwenyewe"
 

Wewe endelea kukung'utwa, umesharibika hata ukipelekwa kwa mganga kazi bure
 
Hapawezi kuwa na Anti kama hakuna Basha,,,,

dah sijui nikusaidie vipi???
Embu niambie tatizo lako nini hasa unasupport ushoga na kushiriki au unawasuport lakini hushiriki,tuanzie hapa kwanza
 
dah sijui nikusaidie vipi???
Embu niambie tatizo lako nini hasa unasupport ushoga na kushiriki au unawasuport lakini hushiriki,tuanzie hapa kwanza

Na suport ndio lakini sishiriki ,na wala sihamasishi , waliopo wakubaliwe , na kama unawapinga basi ,
Busara itumike sio kuwachoma moto , kuwafunga jela , kuwazomea, nakuwapiga .
 
Wanaume wakiacha kutengeneza mashoga hawatakuwepo. Tatizo la ushoga linaanza na baadhi ya tabia za wanaume. Ushoga hauwahusu wanawake ingawa ni watoto wao. Mashoga si watu wa hatari kama mabasha, maana mabasha ndio wanaotesa mpaka wanawake. Uzuri/ubaya wanaopinga ushoga kwa kelele kubwa ndio kiwanda chao
 

Ndugu unatutia mashaka....wewe ni Shoga au Basha?

Sababu zipo!!

Wazazi wao wangekuwa mashoga wao wangezaliwa?

Matendo yote machafu yapo na yanatendwa kwa kificho na kwa ridhaa na risk zao wenyewe LAKINI kutamka VITENDO hivyo vitambuliwe kisheria ndio KOSA kuu linalopingwa

Lastly naomba nifahamishe WANYAMA wanaofanya USHOGA

Kama hamna basi tambua tendo hilo ni zaidi ya unyama ni UHAYAWANI

Stop asking non#####!

*****Muogope Mungu*****
 
Safi sana anatakiwa ajue kuwa hata shetani kapewa limit hajaachiwa huru kama hawa mashoga wanavyotaka. Wao wanaufurahia huu mchezo wa kuchezewa makalio yao pamoja na mindevu yao na vifua vyao vipana.

Hivi shetani hutungiwa sheria ya kuzuia mambo yake? Mie nadhani ni suala la kutaka umaarufu tu wa kisiasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…