Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
"jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"Unaposema makabila yameanza kuliko din unakosea maana God alituma wajumbe wake kila society dunian kwa yesu na mohammad sio wao peke yao waliokuja kutangaza din walikuja manabii kila pande ya dunia.na din ni mfumo wa maisha ya binadam mtu huwez kuish bila kua na mfumo wa maisha
Mkuu, JK sii Mungu wala Katiba.. tunachofuata ni katiba inasema nini na maadam katiba inatambua sheria za asili kwa nini wasiwe na mahakama inayojali na kutafsiri sheria hizo. Sheria ya nchi itambue ndoa ya wake wanne lakini matatizo ya ndoa hizo yaamuliwe kienyeji wakati sheria zipo? -Ndivyo unavyotaka kusema!
Sawa mkuu nimekupata kumbe waIslam Tanzania ni 35% !.
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
Mkuu, JK sii Mungu wala Katiba.. tunachofuata ni katiba inasema nini na maadam katiba inatambua sheria za asili kwa nini wasiwe na mahakama inayojali na kutafsiri sheria hizo. Sheria ya nchi itambue ndoa ya wake wanne lakini matatizo ya ndoa hizo yaamuliwe kienyeji wakati sheria zipo? -Ndivyo unavyotaka kusema!
Ukiishi kwa sheria unaweza ukawa unafanya mambo ya ajabu sana duniani.Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu.i
Hii dini inauchafu mwingi! hakika ukiona wanawake wanavyoteseka huko Pakistan, Afghanistani utawahurumia.HIVI WANAWAKE WA KIISLAMU NAO WANAITAKA?
1. Mature men are allowed to marry prepubescent girls.
The Quran in Sura 65:1, 4 says:
65:1 O Prophet, when you (and the believers) divorce women, divorce them for their prescribed waiting-period and count the waiting-period accurately . . . 4 And if you are in doubt about those of your women who have despaired of menstruation, (you should know that) their waiting period is three months, and the same applies to those who have not menstruated as yet. As for pregnant women, their period ends when they have delivered their burden. (Maududi, vol. 5, pp. 599 and 617, emphasis added)
2. Husbands may hit their wives even if the husbands merely fear highhandedness in their wives (quite apart from whether they actually are highhandedas if domestic violence in any form is acceptable).
The Quran in Sura 4:34 says:
4:34 . . . If you fear highhandedness from your wives, remind them [of the teaching of God], then ignore them when you go to bed, then hit them. If they obey you, you have no right to act against them. God is most high and great. (Haleem, emphasis added)
The hadith says that Muslim women in the time of Muhammad were suffering from domestic violence in the context of confusing marriage laws:
Rifaa divorced his wife whereupon AbdurRahman bin Az-Zubair Al-Qurazi married her. Aisha said that the lady (came), wearing a green veil (and complained to her (Aisha) of her husband and showed her a green spot on her skin caused by beating). It was the habit of ladies to support each other, so when Allah's Apostle came, Aisha said, "I have not seen any woman suffering as much as the believing women. Look! Her skin is greener than her clothes!" (Bukhari, emphasis added)
3. A Muslim polygamist may simply get rid of one of his undesirable wives.
The Quran in Sura 4:129 says:
It is not within your power to be perfectly equitable in your treatment with all your wives, even if you wish to be so; therefore, (in order to satisfy the dictates of Divine Law) do not lean towards one wife so as to leave the other in a state of suspense. (Maududi, vol. 1, p. 381)
Maududi provides an interpretation of the verse (vol. 1, pp. 383-84, note 161). He writes:
Allah made it clear that the husband cannot literally keep equality between two or more wives because they themselves cannot be equal in all respects. It is too much to demand from a husband that he should mete out equal treatment to a beautiful wife and to an ugly wife, to a young wife and to an old wife, to a healthy wife and to an invalid wife, and to a good natured wife and to an ill-natured wife. These and like things naturally make a husband more inclined towards one wife than towards the other
4. A man may be polygamous with up to four wives.
The Quran in Sura 4:3 says:
And if you be apprehensive that you will not be able to do justice to the orphans, you may marry two or three or four women whom you choose. But if you apprehend that you might not be able to do justice to them, then marry only one wife, or marry those who have fallen in your possession. (Maududi, vol. 1, p. 305)
5. Slave-girls are sexual property for their male owners.
The Quran in Sura 4:24 says:
And forbidden to you are wedded wives of other people except those who have fallen in your hands (as prisoners of war) . . . (Maududi, vol. 1, p. 319)
6. A wife may remarry her ex-husband if and only if she marries another man, they have sex, and then this second man divorces her.
The Quran in Sura 2:230 says:
And if the husband divorces his wife (for the third time), she shall not remain his lawful wife after this (absolute) divorce, unless she marries another husband and the second husband divorces her. (In that case) there is no harm if they [the first couple] remarry . . . . (Maududi, vol. 1, p. 165)
7. A womans testimony counts half of a mans testimony.
The Quran in Sura 2:282 says:
And let two men from among you bear witness to all such documents [contracts of loans without interest]. But if two men be not available, there should be one man and two women to bear witness so that if one of the women forgets (anything), the other may remind her. (Maududi, vol. 1, p. 205)
8. A male gets a double share of the inheritance over that of a female.
The Quran in Sura 4:11 says:
The share of the male shall be twice that of a female . . . . (Maududi, vol. 1, p. 311)
9. Husbands are a degree above their wives.
The Quran in Sura 2:228 says:
. . . Wives have the same rights as the husbands have on them in accordance with the generally known principles. Of course, men are a degree above them in status . . . (Sayyid Abul ALa Maududi, The Meaning of the Quran, vol. 1, p. 165)
Gender inequality shows up in a theological context. This hadith shows that the majority of the inhabitants of hell are women.
The Prophet said, "I looked at Paradise and found poor people forming the majority of its inhabitants; and I looked at Hell and saw that the majority of its inhabitants were women."
10. A husband has sex with his wife, as a plow goes into a dirt field.
The Quran in Sura (Chapter) 2:223 says:
Your women are your fields, so go into your fields whichever way you like . . . . (MAS Abdel Haleem, The Quran, Oxford UP, 2004)
"Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"Hii dini inauchafu mwingi! hakika ukiona wanawake wanavyoteseka huko Pakistan, Afghanistani utawahurumia.
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
Mimi ninachoshangaa ni kwamba ...wanasema BAKWATA ni chombo cha serikali na hawakitambui kwa sababu kilianshishwa na kinawakilisha maslahi ya serikali lakini tunapokuja kwenye mahakama ya Kadhi wanasema tena ianzishwe na serikali na kuwekwa kwenye katiba/sheria za nchi...! Hapa nadhani kuna kitu kibaya kimejificha nyuma ya pazia.Acheni ujinga kutaneni msikitini au kokote anzisheni mahakama yenu nani kawakataza?Au kuna nini mnachokitaka mpaka muundiwe na Serikali ya watanzania?Fikra mgando hizo.Na wakristu,wapagani,kila kabila nao waombe za kwao itakuwaje?Je nchi itakalika kweli?
Upuuuuuuuuuuzi mtupu.Weka pembeni misimamo yako ya udini na uliangalie kwa akili zinazofanya kazi sawia utapata jibu hata ukiwa muislamu.
Nimeipenda hiyo ...'Fully fledged Sharia law'...! Hii naomba ije mapema ila isimamiwe na wenyewe siyo na serikali. Sisi tutakuwa watazamazi tu wa jinsi wenzetu wanavyojicharanga mapanga ya mikono na kupopoana mawe mpaka kufa...!Naunga mkono, Mahakama ya kadhi iwepo na ianzishwe na waislam wenyewe.
Mahakama hiyo iende sambamba na kuanzishwa kwa mfumo wa "Sharia" asilimia mia moja- Fully fledged Sharia law, ambayo itatumika tu kwa waislam watakao ridhia.
Bila kuwepo na Sharia law, siungi mkono kuanzishwa kwa mahakama hiyo.
Hi ni kwa sababu Mahakama hiyo haitambui watoto wa nje, na nina uhakika kuwa wapo vijana wa kiislam "wanaopiga" huko na huko kama "charger" ya kobe, wanazaa/watazaa nje halafu watoto hao wasiwe na haki kwenye Kadhi courts. Kwa hiyo kama kadhi courts inaanzishwa, iende sambamba na sharia law ambayo itawashughulikia wazinzi na waasherati ili kuzuia watoto wa nje.
Mwisho kabisa taratibu zote hizo za kuanzisha kadhi courts na sharia law, zifanywe na kugharamiwa na waislam wanaotaka/ridhia.
Hivi mchakato unaoendelea wa kuanzisha mahakama ya Kadhi(mtakayo isimamia wenyewe) ambao kwa mara ya kwanza uliwakutanisha Kikwete na mashehe ikulu umefikia wapi? hakuna habari yoyote kuhusu huu mchakato huko misikitini kwenu?Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki
Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam
Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok
Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..
NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe
wanaosema BAKWATA ni chombo cha serikali ni wao wao, wanaotaka mahakama ya kadhi ni wao wao........Mimi ninachoshangaa ni kwamba ...wanasema BAKWATA ni chombo cha serikali na hawakitambui kwa sababu kilianshishwa na kinawakilisha maslahi ya serikali lakini tunapokuja kwenye mahakama ya Kadhi wanasema tena ianzishwe na serikali na kuwekwa kwenye katiba/sheria za nchi...! Hapa nadhani kuna kitu kibaya kimejificha nyuma ya pazia.
Halaf mnapofananisha uislam na kabila ni vitu tofauti kabisa maana uislam haubadilikibadiliki kama sheria za makabila na pia uislam upo kote hata kwenye hayo makabila.pili sheria za makabila zimetungwa na watu kutokana na experience zao lakin za kiislam ni za alieumba hao watu zp zitakua bora?